Southern Highland Buses
@SouthernBuses
Here you find buses plying along the TANZAM, Lake via Central Zone highway. A route with richness of history and glory. Kwa Hisani ya Wadau (WANAZI)
ID:1195705431605366786
https://m.youtube.com/channel/UCWPKpIScZWy25EQvqcBWkcA 16-11-2019 14:09:42
48,8K Tweets
13,4K Followers
422 Following
🟧 Tunawatakia mchana mwema wa siku ya Jumanne.
𝘽𝙤𝙤𝙠𝙞𝙣𝙜
📱+255 715 641 764
📱+255 653 121 258
#BarakaClassic #FahariYaKusini
CHUKUA TAHADHARI WAKATI WA MVUA!
Utabiri wa hali ya hewa unaonesha kuwa uwepo wa mvua mfululizo basi chukua tahadhari zifuatazo uwapo barabaran:-
#Chukuatahadhari
#Usalamakwanza
Road Safety and Safe Driving Practices
Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
Police Force TZ
🚨🚨🚨
Anza safari yako sasa kuanzia majira ya saa mbili kamili usiku (2:00 Usiku),kutokea DAR ES SALAAM kuelekea DODOMA kila siku kutokea hapa Manzese HQ..
We give every journey that personalize touch.
#ABCUpperClaas
Anza safari yako sasa kuanzia majira ya saa mbili kamili usiku (2:00 Usiku),kutokea DAR ES SALAAM kuelekea SINGIDA kuanzia kesho tarehe 23/04/2024, kila siku kutokea hapa Manzese HQ..
A cruising delight.
#ABCUpperClass
Maana ya Sheria ya Usalama Barabarani.
Sheria ya Usalama barabarani ni kanuni na taratibu ambazo zimewekwa kwa ajili ya watumiaji wa barabara ili kufanya matumizi ya barabara kuwa ya tija na manufaa.
#Tiisheriabilashuruti
#Ajalisasabasi
Southern Highland Buses Mkeka bila Sauli siku hizi ni utapeli tuuuu ila wacha wapigane wenyewe
Musoma sasa baaaasii !!!
Said Transportation Company
Siku ya kesho tunaanza safari
Musoma 🔸Dodoma
Satco Express #satcoexpress