CÔMMÔÑ__SÈÑSË(@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Kama dem yako hajawai kupeleka out wachana na yeye. If she can't reciprocate your goodness now, what makes you think she will reciprocate later??

account_circle
CÔMMÔÑ__SÈÑSË(@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Madem husema ati wakitupa shot to a man they never miss
The truth ni ati they miss all the time
Its just that men wakona huruma
They know how rejection feels
Dem anakutupia mistari haiwezi teka hadi mtu ako desperate lakini unagive in tu
Ladies live in a sympathetic world

account_circle
CÔMMÔÑ__SÈÑSË(@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Naskianga mtu akisema atinatapeleka mtoto wake public school ati ndio akule maisha ngumu.......it can never be me. Watoto wangu wataenda private wamingle na watoto wa waheshimiwa because i know that is where connections are. Utapeleka mtoto wako public achapwe na walimu kama mbwa

account_circle
CÔMMÔÑ__SÈÑSË(@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Ulikuwa umejiweka fiti before exams
Then lec akakuja akakutoa kwa formation wewe pekee yako akakuweka mbele
Ukiwabele unafanya exam watu wako nyuma wako group discussion
Inakaa supp nitafanya pekee yangu this time round😭😭
Walai ruto must go ju hii ni nini

account_circle
CÔMMÔÑ__SÈÑSË(@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Ukiendea pilau in your local mosque ukiwa umevaa kanzu yako hakikisha umetoa hio gospel umeweka kama ringtone usipigiwe simu ufukuzwe😂😂

account_circle
CÔMMÔÑ__SÈÑSË(@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Sakaja akikuwa governor 2027 tutajua how nairobians are so foolish to vote for someone who is doing nothing for them

account_circle
CÔMMÔÑ__SÈÑSË(@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Hadi nikaandikia lec nyuma ya answer book vile nimetoka humble background lakini bado akaniwekea 3 points zangu😭😭walai ruto must go

account_circle
CÔMMÔÑ__SÈÑSË(@_johnmwas) 's Twitter Profile Photo

Nikimaliza hii kitu inaitwa further studies huku yunifasiti... Hiongown ya graduation nitaivaa nikienda hadi swimming pool😂😂

account_circle