DR. ALLY POSSI(@allypossi) 's Twitter Profileg
DR. ALLY POSSI

@allypossi

Deputy Permanent Secretary - Ministry of TRANSPORT - United Republic of Tanzania

ID:868555053581389824

calendar_today27-05-2017 19:50:36

1,6K Tweets

2,5K Followers

596 Following

Haki Ngowi(@Hakingowi) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ally S. Possi akizungumza pamoja na kutoa shukrani kwa   Shirika la Anga Duniani (ICAO) kwa kukamilisha mradi wa uimarishaji na udhibiti wa Usafiri wa Anga ambao uliofadhiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China uliogharimu…

account_circle
Wizara ya Uchukuzi(@WizarayaUC) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi DR. ALLY POSSI ameutaka uongozi wa KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI kuongeza Kasi ya kuwasimamia wakandarasi wa Gas Entec anayejenga Meli ya MV MWANZA jijini Mwanza na KTMI CO- LTD anayekarabati Meli ya MT SANGARA mkoani Kigoma ili kukamilisha miradi hiyo kwa wakati

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi @allypossi ameutaka uongozi wa @MSCLtz kuongeza Kasi ya kuwasimamia wakandarasi wa Gas Entec anayejenga Meli ya MV MWANZA jijini Mwanza na KTMI CO- LTD anayekarabati Meli ya MT SANGARA mkoani Kigoma ili kukamilisha miradi hiyo kwa wakati
account_circle
Wizara ya Uchukuzi(@WizarayaUC) 's Twitter Profile Photo

1/2.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe Suleiman Kakoso  ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini-LATRA kushirikisha wadau zaidi juu ya matumizi ya Mfumo wa ufuatiliaji wa mwenendo wa mabasi (VTS)

Wizara ya Ujenzi(@WizarayaUJ) 's Twitter Profile Photo

Aidha, baada ya mazungumzo alikutana na watumishi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) ambao wanafanya mafunzo ya uendeshaji wa Reli ya Kisasa ya SGR.

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, DR. ALLY POSSI akutana na kuzungumza na Uongozi wa Kampuni ya Hyundai Rotem nchini Korea ambayo ilipata zabuni ya kutengeneza vichwa vya treni ya SGR 17 na seti 10 za treni za mwendo kasi (EMU) na pia amekagua maendeleo mradi huo.

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, @allypossi akutana na kuzungumza na Uongozi wa Kampuni ya Hyundai Rotem nchini Korea ambayo ilipata zabuni ya kutengeneza vichwa vya treni ya SGR 17 na seti 10 za treni za mwendo kasi (EMU) na pia amekagua maendeleo mradi huo.
account_circle
Wizara ya Ujenzi(@WizarayaUJ) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, DR. ALLY POSSI afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni Sung Shin Rolling Stock Tecnology nchini Korea na kukagua mradi wa kutengeneza mebehewa 59 ya SGR ambapo kati ya hayo 59 mabehewa 14 yaliwasili nchini mwezi Novemba mwaka jana.

Naibu Katibu Mkuu-Uchukuzi, @allypossi afanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni Sung Shin Rolling Stock Tecnology nchini Korea na kukagua mradi wa kutengeneza mebehewa 59 ya SGR ambapo kati ya hayo 59 mabehewa 14 yaliwasili nchini mwezi Novemba mwaka jana.
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu anayesimamia Sekta ya Uchukuzi Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha Reli ya kisasa kipande cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili aweze kukamilisha ndani ya Muda.

Naibu Katibu Mkuu anayesimamia Sekta ya Uchukuzi Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha Reli ya kisasa kipande cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili aweze kukamilisha ndani ya Muda. #KitengeUpdates
account_circle
UHURU PUBLICATIONS LIMITED(@UhuruOnlinetz) 's Twitter Profile Photo

NAIBU Katibu Mkuu anayesimamia sekta ya Uchukuzi, Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha reli ya kisasa cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili kukamilisha ndani ya muda.

NAIBU Katibu Mkuu anayesimamia sekta ya Uchukuzi, Dokta Ally Possi, amemtaka Mkandarasi YAP MAREKEZ kutoka Uturuki anaejenga kipande cha reli ya kisasa cha Tabora mpaka Isaka kuhakikisha anaanza ujenzi huo kwa wakati ili kukamilisha ndani ya muda. #KAZIIENDELEE
account_circle
ikulu_Tanzania(@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Dkt. Abdallah Possi mara baada ya kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi tarehe 17 Januari, 2023.