Mangi Rockfella ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ(@dolla_rock) 's Twitter Profileg
Mangi Rockfella ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ

@dolla_rock

pambania pesa ujenge heshima yako

ID:1400823557064642563

calendar_today04-06-2021 14:36:01

10,4K Tweets

3,9K Followers

3,5K Following

Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Ikiwa SALLAH MOHAMMED atahitaji MSAADA, Sheria inamruhusu Kudai HAKI yake MAHAKAMANI bila KUISHIRIKISHA POLISI na DPP.

Ikiwa SALLAH MOHAMMED atahitaji MSAADA, Sheria inamruhusu Kudai HAKI yake MAHAKAMANI bila KUISHIRIKISHA POLISI na DPP.
account_circle
MalisaGJ(@MalisaGJ_) 's Twitter Profile Photo

Tuendelee kuchambua kitita kipya cha huduma cha NHIF. Ukivunjika mguu au mkono, gharama za kuwekewa POP kwenye hospitali yenye hadhi ya wilaya ni TZS 12,000/= kwa mtu mzima na 10,000/= kwa mtoto. Sasa jiulize POP gani la 12K? Wewe kama mtoa huduma hiyo 12K utafanyia nini? Yaniโ€ฆ

Tuendelee kuchambua kitita kipya cha huduma cha NHIF. Ukivunjika mguu au mkono, gharama za kuwekewa POP kwenye hospitali yenye hadhi ya wilaya ni TZS 12,000/= kwa mtu mzima na 10,000/= kwa mtoto. Sasa jiulize POP gani la 12K? Wewe kama mtoa huduma hiyo 12K utafanyia nini? Yaniโ€ฆ
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Zile NJAMA za KUNIFUTA UWAKILI zinabidi ZISUBIRI kwanza mpaka mwaka 2047. Kamati ya MAWAKILI imeitwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha kwa TUHUMA za UTOVU wa MAADILI.

Zile NJAMA za KUNIFUTA UWAKILI zinabidi ZISUBIRI kwanza mpaka mwaka 2047. Kamati ya MAWAKILI imeitwa mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha kwa TUHUMA za UTOVU wa MAADILI.
account_circle
Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Jamaa hataki masihara kashaona majaribio ya kumpindua yamekuwa mengi,Vikosi vya kwanza vya Urusi vimewasili Burkina Faso.inategemewa vitapelekwa pia Niger,Libya na Central Afrika na vitakuwa huko rasmi sasa.
ne

Jamaa hataki masihara kashaona majaribio ya kumpindua yamekuwa mengi,Vikosi vya kwanza vya Urusi vimewasili Burkina Faso.inategemewa vitapelekwa pia Niger,Libya na Central Afrika na vitakuwa huko rasmi sasa. #Behindthescene #Behindthesce
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Hoja ya kwamba maandamano yanavuruga amani na pia yanavuruga shughuli za kiuchumi ukilinganisha na kilichotokea Jana, Kuna ukweli wowote kwenye hoja hii? Je kwa nini wanaotoa hii hoja wanapenda kuitumia mara kwa mara?

Hoja ya kwamba maandamano yanavuruga amani na pia yanavuruga shughuli za kiuchumi ukilinganisha na kilichotokea Jana, Kuna ukweli wowote kwenye hoja hii? Je kwa nini wanaotoa hii hoja wanapenda kuitumia mara kwa mara? #MariaSpaces #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
account_circle
Think Different(@lifeofmshaba) 's Twitter Profile Photo

Polisi Temeke bado wanamshikilia Soka
Kosa lake ni maagizo kutoka Juu kwa Samia

Sasa Samia kama anaogopa Soka namna hii ataweza moto wa Lissu kweli ?

Polisi Temeke bado wanamshikilia Soka Kosa lake ni maagizo kutoka Juu kwa Samia Sasa Samia kama anaogopa Soka namna hii ataweza moto wa Lissu kweli ?
account_circle
Tundu Antiphas Lissu(@TunduALissu) 's Twitter Profile Photo

Tumepuuzwa kiasi cha kutosha. Tumedharauliwa kiasi cha kutosha. Unyonge wetu ndio uliotufanya tupuuzwe na kudharauliwa. Vijana wetu wamesema sasa basi! Wamekataa kuendelea kupuuzwa na kudharauliwa. Huu ni wakati wa kuwaunga mkono uwanjani wanakochezea. Tuko hapa kwa ajili hiyo!

account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Kama MNAAMINI huyo mtu wenu HAJAMUINGIZIA CHUPA MATAKONI mtoto wa watu, Kwa nini MNAHANGAIKA na hizo TZS 30,000 ,000 zenu kutaka KUMHONGA kijana? MTAUMBUKA๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

account_circle
Twaha Mwaipaya(@Twaha_Mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Enyi viongozi nauliza tu kama kijana alieingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa huko Babati angekua ni mtoto wenu, Leo mngejisikiaje baada ya mwendesha mashtaka kumuachilia huru mtuhumiwa Pauline Gekul? Kumbukeni Mnajiitaga watetezi wa wanyonge kipindi cha uchaguzi.

Enyi viongozi nauliza tu kama kijana alieingiziwa chupa sehemu ya haja kubwa huko Babati angekua ni mtoto wenu, Leo mngejisikiaje baada ya mwendesha mashtaka kumuachilia huru mtuhumiwa Pauline Gekul? Kumbukeni Mnajiitaga watetezi wa wanyonge kipindi cha uchaguzi.
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Upo USHAHIDI wa KIMAHAKAMA kwamba POLISI waliwahi KUUWA wafanyabiashara wa MADINI kutoka MAHENGE mwaka 2006 halafu wakasema ni โ€œMAJAMBAZIโ€ kumbe ni UONGO.

account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

DPP ametuambia yupo MSIBANI na bado HAJASOMA JALADA la HASHIM ALLY. Sasa hao watu hapo ๐Ÿ‘‡ ambao walikamatwa JUZI, alisoma JALADA lao LINI na Jana wamefikishwa MAHAKAMANI?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Mtuhumiwa wa MAUAJI anatafutwa na ANAKAMATWA lakini mtuhimiwa wa KUMUINGIZIA CHUPA MATAKONI yupo na KAFUTIWA KESI. Huu UPENDELEO utaiangamiza JAMII.

Mtuhumiwa wa MAUAJI anatafutwa na ANAKAMATWA lakini mtuhimiwa wa KUMUINGIZIA CHUPA MATAKONI yupo na KAFUTIWA KESI. Huu UPENDELEO utaiangamiza JAMII.
account_circle
Haki Haiombwi๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช(@HakiHM36447238) 's Twitter Profile Photo

Mnadharaukika sana na Police Force TZ maana mnaongea zaidi lakini vitendo sifuri,Police Force TZ wanabambikia watu kesi watakavyo wanaua watu watakavyo na hamna la kuwafanya mnatukera sana.

Mnadharaukika sana na @tanpol maana mnaongea zaidi lakini vitendo sifuri,@tanpol wanabambikia watu kesi watakavyo wanaua watu watakavyo na hamna la kuwafanya mnatukera sana.
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

Marehemu HAMZA aliona kwenda MAHAKAMANI ni KUPOTEZA MUDA na akafanya ALICHOKIFANYA. Kama JAMII, tunapaswa KUELEWA kwamba bila HAKI hakuna AMANI. Tuheshimu HAKI za wenzetu. Endelea KUPUMZIKA KWA AMANI HAMZA.

Yapo MAMBO ambayo Marehemu Rais JOHN MAGUFULI aliyafanya kwa UKWELI na UJASIRI MKUBWA. Hilo ๐Ÿ‘‡ni moja ya MAMBO hayo. Msikilize.

account_circle