Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ulinzi wa Urusi amesema NATO wanawanajeshi zaidi ya 30,000,Vifaru 300 na magari ya jeshi 800 karibu na mpaka wa Urusi.Urusi inawafatilia kwa umakini mkubwa sana.Tujadili kidogo unadhani NATO inauwezo waivamia na kuiteka Urusi?Kwanini?

#Behindthescene 
#BilaGanzi
account_circle
Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Hizi ndio gharama za NATO kutaka kujisambaza kuelekea MOSCOW.Bila Maidan revolution ya mchongo wa Ukraine wasinge kufa namna hii.Wadhamini wa Maidan revolution wanajiskiaje huko walipo wakiona walichosababishia raia wa Ukraine.

account_circle
Jack upepo(@kikomasta) 's Twitter Profile Photo

Iran wamesema kwamba waliishambulia Israel na makombora ya Balllistic yaliyokwisha muda wake.Walikuwa wana safisha store.Hizi sasa fitna naona Kuna mtu anasagiwa kunguni ili asishinde uchaguz.i

Haya sasa kila kitu wanacho ole wao watoe sababu nyingine.Nani anaamini msaada wa US kwa Ukraine $60 bil unaweza kubadili upepo wa frontline?

Za chiiini ya kapeni ni kuwa kamanda wa jeshi la Anga la US,amemfahamisha kiongozi wa Niger kuwa US haipo tayari kuondoa Kambi ya Drone iliyopo Niger kwakuwa inamsaada mkubwa kwa ulinzi wa Niger dhidi ya vikundi vya kigaidi.

China imekataa kulaani mashambulizi ya Iran kwa Israel.Yani sasa hivi hakuna siri tena China,Iran,North Korea na Urusi wapo team moja.

Jamaa kaionea wivu sana Israel ilivyolindwa na makombora ya Iran.Nini wasi wasi jamaa hakupenda kabisa Israel kupewa sapoti zaidi ya Ukraine.