WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(@gcumod) 's Twitter Profileg
WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

@gcumod

Karibu katika ukurasa wa Twitter wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

ID:983940305371230208

linkhttp://www.modans.go.tz calendar_today11-04-2018 05:30:24

178 Tweets

14,2K Followers

6 Following

WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(@gcumod) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa Dr. Stergomena Lawrence Tax (Mb), leo tarehe Aprili 18, 2024 amefanya ziara ya kikazi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya 834 Makutupora iliyopo Makutupora jijini Dodoma.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mheshimiwa @DrTaxs (Mb), leo tarehe Aprili 18, 2024 amefanya ziara ya kikazi katika kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya 834 Makutupora iliyopo Makutupora jijini Dodoma.
account_circle
WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(@gcumod) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) akifungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kilichofanyika katika Ukumbi wa Magadu Mess Morogoro Aprili 06, 2024.

Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa Dr. Stergomena Lawrence Tax (Mb),tarehe 19 Machi,2024, ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji ya Jeshi Kujenga Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa, Chamwino, jijini Dodoma.

Waziri wa Ulinzi na JKT, Mheshimiwa @DrTaxs (Mb),tarehe 19 Machi,2024, ameongoza Kikao cha Kamati Tendaji ya Jeshi Kujenga Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Kujenga Taifa, Chamwino, jijini Dodoma.
account_circle
WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(@gcumod) 's Twitter Profile Photo

Salamu za Rambirambi kutoka kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu, zikitolewa kwa niaba yake na Waziri wa Ulinzi na JKT, Mhe. Dr. Stergomena Lawrence Tax (Mb) Wakati wa Kuaga Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Christopher Keraryo Gimonge (Mstaafu) katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo jijini Dar es salaam.

account_circle