James Mbugua(@iamjamesmbugua) 's Twitter Profileg
James Mbugua

@iamjamesmbugua

Believe of Positive Energetic Living life Unapologetically 🧡

ID:1203943018115538944

calendar_today09-12-2019 07:42:58

29,3K Tweets

8,1K Followers

7,2K Following

Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Ukeketaji wakithiri Samburu:

Twakwimu zaonesha 75% ya wasichana wamepashwa tohara.

Wakereketwa waitaka serikali kuwachukulia hatua wahusika.

Wasichana wengi hukeketwa wakati wa likizo na kuozwa

Rashid Abdalla

account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo


Serikali ya Kaunti ya Nairobi inasema itashirikiana na waekezaji wa kibinafsi kujenga hoteli na eneo la burudani kwenye Bustani ya Uhuru ambayo imefunguliwa kwa umma.


#HabariZaSasa Serikali ya Kaunti ya Nairobi inasema itashirikiana na waekezaji wa kibinafsi kujenga hoteli na eneo la burudani kwenye Bustani ya Uhuru ambayo imefunguliwa kwa umma. #MaishaNiBoraZaidi #RadioZaidiYaRadio #MwendenClemmoKonnect
account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mfumo ghali wa bima ya afya:

Wabunge waghadhabishwa na ununuzi wa mfumo mpya.

Kimtai: Mchakato wa kununua mfumo wa otomatiki unaendelea.

Mfumo mpya wa bima ya SHIF utagharimu shilingi bilioni 4

Rashid Abdalla

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Elimu ya watoto maalum Narok:

Chama cha walimu chatia saini mkataba na TSC.

Walimu wanaofunza watoto wenye mahitaji maalum.

Walimu kuhamishwa katika awamu tatu nchini

Nimrod Taabu

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

Mshahara wa madaktari wanafunzi:

Kumekuwa na maswali kuhusiana na mshahara wao.

Swala hili limekuwa mojawapo yanayozozaniwa nchini.

Madaktari na serikali wavutana kuhusu swala hili.

Serikali yapendekeza madaktari hawa kulipwa 70,000.

Madaktari wanasema walikuwa wakilipwa…

account_circle
INGA GUBEKA(@ingagubeka) 's Twitter Profile Photo

You buy Nike an American brand that manufacturers in China but you criticise SA brands manufacturing in China

account_circle
Robert ALAI, HSC(@RobertAlai) 's Twitter Profile Photo

Ruto threatened the Pokot when only 6 schools were closed. Now close to 25 schools are closed and we have not seen what Ruto can do with the threats.

Overrated!

account_circle
Citizen TV Kenya(@citizentvkenya) 's Twitter Profile Photo

President William Ruto on Friday warned bandits roaming Laikipia County that their days are numbered. citizen.digital/news/your-days…

account_circle
Robert ALAI, HSC(@RobertAlai) 's Twitter Profile Photo

Great move Iran.

Israel and US have become the biggest destabilising forces the world has ever seen.

You can’t be fighting everyone of your neighbours and bullying all who don’t tow your line.

account_circle
DCI KENYA(@DCI_Kenya) 's Twitter Profile Photo

The National Assembly has approved the Computer Misuse and Cybercrime (Critical Information Infrastructure and Cybercrime Management) Regulations, 2024.

Referenced as Legal Notice No. 44 of 2024, the regulations were thoroughly reviewed and have now been acceded to, aligning…

The National Assembly has approved the Computer Misuse and Cybercrime (Critical Information Infrastructure and Cybercrime Management) Regulations, 2024. Referenced as Legal Notice No. 44 of 2024, the regulations were thoroughly reviewed and have now been acceded to, aligning…
account_circle
Don Bull(@mainandegwa232) 's Twitter Profile Photo

The TRAGIC STORY of KEVIN OMWENGA aka Richhy Rich

28yr Kenyan Car salesman who was killed after joining washwash business.

THREAD.
1/2

The TRAGIC STORY of KEVIN OMWENGA aka Richhy Rich 28yr Kenyan Car salesman who was killed after joining washwash business. THREAD. 1/2
account_circle