Governor Andrew Mwadime (Wakujaa)(@GovernorMwadime) 's Twitter Profile Photo

Leo nimeungana na jamaa na familia ya msaidizi wangu (personal assistant) Hezron Mbogho kwa ibada ya mwisho ya kumuaga mwendazake Ian Mbogo ambaye ni mwanae, ibada ilioandaliwa katika uwanja wa mchezo wa Dawson Mwanyumba-Wundanyi.

account_circle