Kubwa Lao
@Its_Fik
Better Days Are Comming๐ฑ
ID:1403084443577950214
10-06-2021 20:20:08
72,7K Tweets
25,5K Followers
6,9K Following
Katika kipindi cha mwaka 2022/2023, serikali ya awamu ya sita ilikamilisha miradi ya maji 586 ambapo miradi hii inakadiriwa kusaidia wananchi takribani milion 4 katika vijiji zaidi ya 1293.
#MamaYukoKazini
๐๐๐๐ ni mnasihi wa vijana wengi na kioo ambacho mabinti na wanawake wengi wanajitazama, kama anavyoeleza Luna Lupembe.
#MamaYukoKazini
๐๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐ฐ๐ ๐ฏ๐ฒ๐จ๐ฆ๐๐จ ๐ฏ๐ฒ๐ ๐ก๐๐๐๐ซ๐ข
Goodluck Carlos maarufu kama Mr. Mwanya amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kuzingatia uhuru wa vyombo vya habari.
#MamaAnafanikisha
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐
Katika #MiakaMitatuYaMama vyombo vya habari vimekuwa daraja kati ya wananchi na Serikali yao.
Ameimarisha uhuru wa vyombo vya habari ambao huchochea maendeleo, amani, utulivu na furaha kwa taifa.
#MamaYukoKazini
#UhuruWaVyomboVyaHabari
Uzingatiaji wa utawala wa sheria umeboresha utendaji na kuimarisha sekta mbalimbali nchini.
Huu ni ushuhuda kutoka kwa Elizabeth Mramba akigusia sekta moja ya habari.
#MamaYukoKazini
#UhuruWaVyomboVyaHabari
Maoni ya Mwanahabari Hamisu Ally kuhusu uhuru wa vyombo vya habari.
#MamaYukoKazini
๐๐๐ญ๐ฎ ๐ก๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐๐ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐, ๐ฅ๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ณ๐๐ข๐๐ข ๐ก๐ฎ๐ญ๐๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐จ๐ง๐
๐๐๐๐ anawaonesha kazi ya ujenzi wa vivuko vitano vitakavyotatua adha ya usafiri, kuimarisha usalama kwa wananchi na kuongeza kasi ya ufanyaji shughuli za kiuchumi na kujamii Kanda yaโฆ
#UhuruWaVyomboVyaHabari
Mwanafunzi wa Uandishi wa Habari, Mariam Salim akieleza tofauti anayoiona juu ya hali ya vyombo vya habari ilivyokuwa awali na sasa chini ya MAMA.
#MamaYukoKazini
Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi bilioni 5 ambazo ni fedha za dharura kwajili ya kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja ambayo imeharibika katika mkoa wa Lindi.
#mamayukokazini
Kipindi hiki cha #mamayukokazini walimu wanafuraha sana maana amewalipa malimbikizo ya mishahara yao lakini pia anahakikisha wanaishi kwenye mazingira bora.
Kipaumbele kikuu cha bajeti ya TARURA ni kurahisisha shughuli za uisafiri na usafiri pamoja na kupendezesha mji
#mamayukokazini