Matokeo ChanyA+(@matokeochanya) 's Twitter Profileg
Matokeo ChanyA+

@matokeochanya

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+

ID:790531563104731136

linkhttp://matokeochanya.co.tz calendar_today24-10-2016 12:33:07

22,2K Tweets

46,8K Followers

800 Following

Follow People
NemcTanzania(@NemcTanzania) 's Twitter Profile Photo

Jukumu la Baraza la Taifa la Usimamizi na Udhibiti wa Mazingira Tanzania (NEMC) katika Kuboresha Utunzaji wa Mazingira katika Sekta Mbalimbali.

matokeochanya.blogspot.com/2024/05/la-bar…

Jukumu la Baraza la Taifa la Usimamizi na Udhibiti wa Mazingira Tanzania (NEMC) katika Kuboresha Utunzaji wa Mazingira katika Sekta Mbalimbali. #NEMC #SSH #Ikulu #Matokeochanya #Nchiyangukwanza matokeochanya.blogspot.com/2024/05/la-bar…
account_circle
Matokeo ChanyA+(@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Umuhimu wa nishati safi ya kupikia nchini Tanzania ni mkubwa na unagusa nyanja nyingi za maisha, ikiwa ni pamoja na afya, mazingira, uchumi, na kijamii.

Hapa chini kuna baadhi ya umuhimu wake:

1. Afya
- Kupunguza magonjwa ya kupumua:
Matumizi ya nishati

account_circle
Matokeo ChanyA+(@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ChapA+ Kazi.

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya jamii kwa njia zifuatazo:

1. Kukuza Usawa wa Kijinsia:
Wizara hii inahusika na kuhakikisha kwamba

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ChapA+ Kazi. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa katika maendeleo ya jamii kwa njia zifuatazo: 1. Kukuza Usawa wa Kijinsia: Wizara hii inahusika na kuhakikisha kwamba
account_circle
NemcTanzania(@NemcTanzania) 's Twitter Profile Photo

Mazingira asilia hutoa rasilimali muhimu kama vile chakula, maji, na maliasili ambazo watu wanategemea kwa maisha yao ya kila siku. Kwa mfano, misitu inatoa mbao, mimea ya dawa, na hewa safi.

account_circle
NemcTanzania(@NemcTanzania) 's Twitter Profile Photo

Umuhimu wa Uhifadhi wa Mazingira Bora na Safi kwa Maendeleo ya Tanzania na Afya ya Jamii

matokeochanya.blogspot.com/2024/05/umuhim…

Umuhimu wa Uhifadhi wa Mazingira Bora na Safi kwa Maendeleo ya Tanzania na Afya ya Jamii #NEMC #SSH #Makamuwarais #Tanzania #CCM matokeochanya.blogspot.com/2024/05/umuhim…
account_circle
Togolani Mavura(@tonytogolani) 's Twitter Profile Photo

Sayansi nayo ni agenda ya diplomasia.

Nimetembelea Taasisi ya Rasilimali za Biolojia ya Korea (National Institute of Biological Resources-NIBR) na kufanya mazungumzo na Rais Min Whan Suh kuhusu ushirikiano katika tafiti na kubadilishana utaalam katika eneo la bioanuai.

NIBR na

Sayansi nayo ni agenda ya diplomasia. Nimetembelea Taasisi ya Rasilimali za Biolojia ya Korea (National Institute of Biological Resources-NIBR) na kufanya mazungumzo na Rais Min Whan Suh kuhusu ushirikiano katika tafiti na kubadilishana utaalam katika eneo la bioanuai. NIBR na
account_circle
Matokeo ChanyA+(@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mavunde amesisitiza umuhimu wa kuongeza thamani ya madini nchini Tanzania kabla ya kusafirishwa nje ya nchi, akieleza kuwa hii ni moja ya maelekezo kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kwa kufanya hivyo, serikali inalenga kuhakikisha kuwa madini yanawanufaisha

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesisitiza umuhimu wa ushirikiano katika michezo kama njia ya kudumisha diplomasia na amani miongoni mwa nchi washirika wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM). Akizungumza wakati wa kufunga Mkutano wa 79 wa Baraza hilo uliofanyika Dar es

UK in Tanzania(@UKinTanzania) 's Twitter Profile Photo

Innocent demonstrates to Balozi David Concar one of the innovative creations at Soma; a suit storage bag made of recycled fish food sacks.

UK in Tanzania supported Soma in equipping new premises where thousands of bags will be made to help the community & clean up the environment.

Innocent demonstrates to Balozi @DConcar one of the innovative creations at Soma; a suit storage bag made of recycled fish food sacks. @UKinTanzania supported Soma in equipping new premises where thousands of bags will be made to help the community & clean up the environment.
account_circle
UK in Tanzania(@UKinTanzania) 's Twitter Profile Photo

- We were delighted to present a Commonwealth Points of Light Award to Soma Bags founder Innocent James, for incredible and innovative work to bring books, reading lights and reusable & recycled bags to the community.

pointsoflight.gov.uk/soma-tanzania/

#Mwanza - We were delighted to present a Commonwealth Points of Light Award to Soma Bags founder Innocent James, for incredible and innovative work to bring books, reading lights and reusable & recycled bags to the community. pointsoflight.gov.uk/soma-tanzania/
account_circle
Matokeo ChanyA+(@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Mhe.Paul Christian Makonda pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi, Vyombo vya ulinzi na usalama katika uwanja wa ndege

Tanzania inahimiza wawekezaji wa Umoja wa Ulaya kushiriki katika fursa za uwekezaji kwenye madini ya kimkakati. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, ametoa wito huo katika Mkutano wa Jumuiya ya Ulaya uliojadili upatikanaji wa madini adimu huko

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2024 amefanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2024 amefanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma.
account_circle