MSLegalAidCampaign(@MsLACampaign) 's Twitter Profile Photo

Katiba ya Tanzania inathibitisha usawa mbele ya sheria kwa watu wote. Ibara ya 13(1) inalinda haki ya kila mtu kutendewa kwa usawa na kuheshimiwa na sheria bila ubaguzi. Hii inamaanisha hakuna mtu anayepaswa kunyimwa haki.

 #MSLAC #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza
account_circle
Matokeo ChanyA+(@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Serikali inaendelea na ujenzi wa yadi na sakafu ngumu yenye ukubwa wa hekta tano katika Bandari Kavu ya Kwala kwa ajili ya kuhifadhi shehena za mizigo ambapo utekelezaji umefikia asilimia 96.

#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza…
account_circle