Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profileg
Ministry of Finance Tanzania

@mofURT

The Ministry of Finance is a Central Ministry responsible for public Finance and Economic Management. #mofURT #HazinaYetu

ID:1392509359633096706

linkhttps://mof.go.tz calendar_today12-05-2021 15:58:11

2,4K Tweets

12,5K Followers

97 Following

Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari imeahidi kufanya kazi kwa pamoja hasa katika kipindi hiki cha Bajeti kuelekea uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali inayotarajiwa kuwasilishwa Bungeni hivi karibuni.

Hayo yameelezwa na Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi Salome…

Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari imeahidi kufanya kazi kwa pamoja hasa katika kipindi hiki cha Bajeti kuelekea uwasilishwaji wa Bajeti Kuu ya Serikali inayotarajiwa kuwasilishwa Bungeni hivi karibuni. Hayo yameelezwa na Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bi Salome…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), ametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini likiwemo Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (@UNDP ), kuiunga mkono Serikali katika uelekeo wake wa kuwekeza kwenye sekta za uzalishaji ili kuondoa umaskini kwa wananchi.

Rai hiyo…

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), ametoa rai kwa wadau wa maendeleo nchini likiwemo Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (@UNDP ), kuiunga mkono Serikali katika uelekeo wake wa kuwekeza kwenye sekta za uzalishaji ili kuondoa umaskini kwa wananchi. Rai hiyo…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe, katika ofisi za Wizara ya Fedha Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na…

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Maendeleo TIB, Bw. Sosthenes Kewe, katika ofisi za Wizara ya Fedha Treasury Square, jijini Dodoma, ambapo walijadili kuhusu maendeleo ya Benki hiyo na…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Wizara ya Fedha imeendelea kuwakumbusha wastaafu wanaolipwa mafao na Wizara ya Fedha kutojihusisha na utoaji wa fedha  kwa mtu, kama kigezo  cha kusaidiwa kupata mafao yao, Kwakuwa huduma hiyo hutolewa bure.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ambaye…

Wizara ya Fedha imeendelea kuwakumbusha wastaafu wanaolipwa mafao na Wizara ya Fedha kutojihusisha na utoaji wa fedha  kwa mtu, kama kigezo  cha kusaidiwa kupata mafao yao, Kwakuwa huduma hiyo hutolewa bure. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini ambaye…
account_circle
Swahili Times(@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

“Wananchi wanatakiwa kufahamu jambo moja; unapoiacha risiti kwa mtoa huduma pale haikusaidii wewe bali ni unamuachia mfanyabishara fedha ambayo sio yake, ile risiti ya EFD ndio yenye mapato ya Serikali yatakayokusaidia hata wewe kwenye maendeleo, tudai risiti kuisaidia Serikali…

“Wananchi wanatakiwa kufahamu jambo moja; unapoiacha risiti kwa mtoa huduma pale haikusaidii wewe bali ni unamuachia mfanyabishara fedha ambayo sio yake, ile risiti ya EFD ndio yenye mapato ya Serikali yatakayokusaidia hata wewe kwenye maendeleo, tudai risiti kuisaidia Serikali…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @Mwigulunchemba1 (Mb), amewahakikishia wafanyabiashara nchini kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inatambua mchango mkubwa wa sekta binafsi hususan wafanyabiashara…

Habarika kupitia Whatsapp Channel ya WIZARA YA FEDHA TANZANIA.

Nenda sehemu ya Updates kupitia Whatsapp na Search neno: WIZARA YA FEDHA TANZANIA au tumia link hii

whatsapp.com/channel/0029Va…

Karibuni Sana✅

Habarika kupitia Whatsapp Channel ya WIZARA YA FEDHA TANZANIA. Nenda sehemu ya Updates kupitia Whatsapp na Search neno: WIZARA YA FEDHA TANZANIA au tumia link hii whatsapp.com/channel/0029Va… Karibuni Sana✅
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema kuwa ulipaji wa madai yanayotokana na kupokelewa kwa bidhaa au huduma huzingatia masharti ya mikataba ya zabuni au kandarasi iliyoingiwa kati ya Serikali na mtoa huduma.

Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb)…

Serikali imesema kuwa ulipaji wa madai yanayotokana na kupokelewa kwa bidhaa au huduma huzingatia masharti ya mikataba ya zabuni au kandarasi iliyoingiwa kati ya Serikali na mtoa huduma. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb)…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NCBA Bank Tanzania , Bw. Claver Serumaga, baada ya kukutana katika Ofisi ya Waziri wa Fedha Treasure Square, jijini Dodoma, ambapo wamezungumza kuhusu…

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya @NCBATanzania , Bw. Claver Serumaga, baada ya kukutana katika Ofisi ya Waziri wa Fedha Treasure Square, jijini Dodoma, ambapo wamezungumza kuhusu…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Serikali imesema kuwa imeunda kamati ya kukusanya na kuchambua maoni na mapendekezo ya viwango vya nyongeza ya pensheni ili kuwezesha maandalizi ya rasimu ya Waraka wa Baraza la Mawaziri kuhusu nyongeza ya pensheni kwa wastaafu wanaolipwa na Hazina.

Hayo yameelezwa bungeni…

Serikali imesema kuwa imeunda kamati ya kukusanya na kuchambua maoni na mapendekezo ya viwango vya nyongeza ya pensheni ili kuwezesha maandalizi ya rasimu ya Waraka wa Baraza la Mawaziri kuhusu nyongeza ya pensheni kwa wastaafu wanaolipwa na Hazina. Hayo yameelezwa bungeni…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka Sekretarieti ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu, ulioongozwa na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti hiyo, Mhe. Balozi João Samuel Caholo, jijini Dodoma ambapo wamejadiliana…

BURIANI - MUSTAFA HAIDI MKULO
Aliyekuwa Waziri wa Fedha Tanzania (2007-2012)

Mungu ailaze Roho ya marehemu, mahali pema peponi, Amen.

BURIANI - MUSTAFA HAIDI MKULO Aliyekuwa Waziri wa Fedha Tanzania (2007-2012) Mungu ailaze Roho ya marehemu, mahali pema peponi, Amen.
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Fedha wakiwa katika maandamano wakati wa  Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika kwa ngazi ya Mkoa katika Viwanja vya Jamhuri,  jijini Dodoma, yakiwa na kaulimbiu ya  “Nyongeza ya mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi…

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb) pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha wameshirikia katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha.

Maadhimisho hayo yana kauli mbiu “Nyongeza ya…

Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb) pamoja na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha wameshirikia katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, yaliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Maadhimisho hayo yana kauli mbiu “Nyongeza ya…
account_circle
Ministry of Finance Tanzania(@mofURT) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), ameshiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki mkutano huo wenye lengo la kuanisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye…

Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), ameshiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki mkutano huo wenye lengo la kuanisha vipaumbele vya nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye…
account_circle