Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profileg
Othman Masoud Othman

@othmasoud

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa

ID:1366696384787791875

calendar_today02-03-2021 10:26:35

258 Tweets

10,5K Followers

39 Following

Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Leo Aprili 24, 2024 nimepata fursa ya kukutana na kufanya Mazungumzo na Mshauri wa Mambo ya Kisiasa kutoka Ubalozi wa Uingereza Nchini Tanzania,UK in Tanzania , Bw. Samuel Raff, aliyefika kujitambulisha Ofisini kwangu Migombani Mjini Unguja.

Leo Aprili 24, 2024 nimepata fursa ya kukutana na kufanya Mazungumzo na Mshauri wa Mambo ya Kisiasa kutoka Ubalozi wa Uingereza Nchini Tanzania,@UKinTanzania , Bw. Samuel Raff, aliyefika kujitambulisha Ofisini kwangu Migombani Mjini Unguja.
account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Nimefarijika sana kuhudhuria na kupata fursa ya kubadilishana mawazo na vijana wa chama chetu cha ACTWazalendo, katika Kongamano Maalum la Ngome ya Vijana, hakika mahudhurio yao ni Ujumbe tosha kwamba wapo tayari na Mabadiliko, Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka Kamili.

Nimefarijika sana kuhudhuria na kupata fursa ya kubadilishana mawazo na vijana wa chama chetu cha @ACTwazalendo, katika Kongamano Maalum la Ngome ya Vijana, hakika mahudhurio yao ni Ujumbe tosha kwamba wapo tayari na Mabadiliko, Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja Mamlaka Kamili.
account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Leo Aprili 17, 2024 nimepata fursa ya kukutana na kuzungumza na Viongozi mbali mbali, wa chama chetu cha ACTWazalendo katika Kikao cha Pamoja cha Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu, waliopo kisiwani Unguja, kikao kilichofanyika katika ofisi zetu Vuga Wilaya ya Mjini Unguja

Leo Aprili 17, 2024 nimepata fursa ya kukutana na kuzungumza na Viongozi mbali mbali, wa chama chetu cha @ACTwazalendo katika Kikao cha Pamoja cha Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu, waliopo kisiwani Unguja, kikao kilichofanyika katika ofisi zetu Vuga Wilaya ya Mjini Unguja
account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Ahsanteni sana, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu cha ACTWazalendo na Wanachama wenzangu wote kwa ujumla, kwakuendelea kuniamini, Naahidi kwenu kuidumisha Imani hii tena kwa mapenzi makubwa.

Ahsanteni sana, Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu cha @ACTwazalendo na Wanachama wenzangu wote kwa ujumla, kwakuendelea kuniamini, Naahidi kwenu kuidumisha Imani hii tena kwa mapenzi makubwa.
account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea kwa Masikitiko Makubwa, Taarifa ya Kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kilichotokea leo Februari 29, 2024 huko Jijini Dar es Salaam. Natoa Salamu za Pole kwa Familia, Serikali, Ndugu, Jamaa, Marafiki na Watanzania wote.

Leo Februari 24, 2024 nimerejesha Fomu ya Kugombea Nafasi ya Uwenyekiti wa Chama chetu cha ACTWazalendo Taifa, huko katika Ofisi zetu za Chama Vuga Mjini Unguja, Ahsanteni sana Wanachama na Viongozi wenzangu kwakujumuika nami katika hili.

Leo Februari 24, 2024 nimerejesha Fomu ya Kugombea Nafasi ya Uwenyekiti wa Chama chetu cha @ACTwazalendo Taifa, huko katika Ofisi zetu za Chama Vuga Mjini Unguja, Ahsanteni sana Wanachama na Viongozi wenzangu kwakujumuika nami katika hili. #SOTENIWASHINDI
account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Februari 12, 2024, nilipata fursa ya kujumuika pamoja na Viongozi Wakuu wa Chama chetu cha ACTWazalendo, katika Kikao cha Halmashauri Kuu kilichofanyika huko katika Ofisi ya Makao Makuu ya Chama Magomeni Mikumi, Jijini, Dar es salaam.

account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Jumamosi ya Januari 27, nilipata fursa ya kushiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Chama chetu cha ACT Wazalendo kilichoongozwa na M/kiti wa Taifa, Ndugu. Juma Duni Haji, huko Magomeni Mikumi, Jijini Dar es salaam.

account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Leo Januari 27, 2024 nimepata fursa ya kuungana na Viongozi na Wananchi mbali mbali, tukiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu, katika Zoezi la Upandaji Miti, huko Donge Muwanda, Mkoa wa Kaskazini Unguja

account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Leo Januari 27, 2024 nimepata fursa ya kuungana na Viongozi na Wananchi mbali mbali, tukiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu, katika Zoezi la Upandaji Miti, huko Donge Muwanda, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Leo Januari 27, 2024 nimepata fursa ya kuungana na Viongozi na Wananchi mbali mbali, tukiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, katika Zoezi la Upandaji Miti, huko Donge Muwanda, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
account_circle
Othman Masoud Othman(@othmasoud) 's Twitter Profile Photo

Leo Januari 03, 2024 nimepata fursa ya kuwa Mgeni Rasmi wa Hafla ya Uwekaji Jiwe la msingi wa Barabara ya Kiembesamaki - Mtoni, yenye urefu wa kilomita 8.5 iliyopo Mkoa wa Mjini Magharib Unguja, ikiwa ni sehemu ya Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Leo Januari 03, 2024 nimepata fursa ya kuwa Mgeni Rasmi wa Hafla ya Ufunguzi wa Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, Hafla iliyofanyika huko JNICC (Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere) Jijini Dar es Salaam.