Makabidhiano ya mradi wa ukarabati wa kituo cha mafuta Kurasini jijini Dar es Salaam yamefanyika Jumanne 21/05/2024 kati ya GPSA na Osaka Store yakishuhudiwa na TBA ikiwa ni utekelezaji wa Mpango wa maboresho utoaji huduma za Wakala.
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali
Bodi ya Ushauri ya Wizara, menejimenti na watumishi wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) wanawatakia maadhimisho mema ya sikukuu ya Wafanyakazi duniani ya Mei Mosi.
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali #MeiMosi #SikukuuYaWafanyakazi
Maboresho ya Ofisi na Kituo cha Wakala Mkoa wa Pwani. Tupo mkabala na Barabara Kuu ya Morogoro karibu na Ofisi ya TANROADS Kibaha, Pwani.
Karibu tukuhudumie kielektroniki kupitia GIMIS katika vituo vyetu!
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali #GPSAFuelService #GPSAHudumaYaMafuta
“Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,’ Tumeshikamana na Tumeimarika, kwa Maendeleo ya Taifa Letu’’.
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali #MuunganoDay
9/9
Prof. Geraldine aliongeza kuwa GPSA ni Taasisi ya kimkakati katika kufanikisha shughuli za Kiserikali.
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali
Video ya maelekezo ya hatua za kuwasilisha mahitaji kwa Wakala kwenye GIMIS kuanzia tarehe 1-25 Mei,2024.
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali
4/4
Pof. Rasheli aliwashukuru wadau walioshiriki kutoa mafunzo hayo ikiwemo Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA).
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali #GPSAClearingAndForwardingServices #gpsahudumayaugomboaji
2/2
Katika picha ni hatua mbalimbali za ukarabati zikiendelea katika baadhi ya Mikoa ya Singida, Kigoma, Mara na Dar es Salaam (Kurasini).
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali #GPSAHudumaYaMafuta #GPSAFuelService
3/3
ambapo hafla hii hufanyika kila mwaka na kujumuisha makundi mbalimbali.
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali #RamadhanKareem #Iftar