Ben kisembe [CHEPTAIS Mt.elgon](@BKisembe) 's Twitter Profile Photo

Radio Citizen Tina Ogal Nimpongeza sana ghuru @tomkimbaraza kwa ushauri nasaha. Mfano ni hapa koboriot primary ambapo madaraja hayapo kabisa huku maji ya mito tirorok na malakisi yakiwa yamejaa furifuri hadi pomoni

account_circle
Ben kisembe [CHEPTAIS Mt.elgon](@BKisembe) 's Twitter Profile Photo

Radio Citizen Tina Ogal Salamu zangu kwake seneta Seneta Tomkim Baraza HSC. Hapa koboriot primary, kopsiro subcounty madaraja yote hayapo kabisa huku maji ya mito tirorok na malakisi yakiwa yamejaa furifuri hadi pomoni

account_circle
Ben kisembe [CHEPTAIS Mt.elgon](@BKisembe) 's Twitter Profile Photo

Radio Citizen Tina Ogal Nimpongeza sana ghuru @tomkimbaraza kwa ushauri nasaha. Mfano ni hapa koboriot primary ambapo madaraja hayapo kabisa huku maji ya mito tirorok na malakisi yakiwa yamejaa

account_circle
Ben kisembe [CHEPTAIS Mt.elgon](@BKisembe) 's Twitter Profile Photo

Radio Citizen Tina Ogal Nimpongeza sana ghuru @tomkimbaraza kwa ushauri nasaha. Si vyema tuyahatarishe maisha ya maelfu ya wanafunzi dhidi ya masomo. Agizo la rais lifuatwe

account_circle
Ben kisembe [CHEPTAIS Mt.elgon](@BKisembe) 's Twitter Profile Photo

Radio Citizen Tina Ogal Nimpongeza sana ghuru @tomkimbaraza kwa ushauri nasaha. Si vyema tuyahatarishe maisha ya maelfu ya wanafunzi dhidi ya masomo. Agizo la rais lifuatwe,

account_circle
Mhubiri Makatu Wa Shinyalu(@Mhubiri_Makatu) 's Twitter Profile Photo

Hujambo Tina Ogal na Munayi Nawapata vyema sana nikiwa Madala Area Shinyalu, ni maombi tu pekee Mungu atukumbuke sisi wakenya kwa majanga haya yanayotupata Radio Citizen

account_circle