Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Mavunde ametembelea mabanda ya maonesho ya madini ambayo yanakwenda sambamba na Jukwaa la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji Watanzania katika Sekta ya Madini.
#LocalContent
Tumeyamadini
#LocalContent
Karibu katika Maonesho na Jukwaa la Tatu la utekelezaji wa ushirikishwaji wa watanzania katika sekta ya madini jijini Arusha
Tumeyamadini
Waziri waMadini Anthony Mavunde akikagua vifaa vya usalama mahali pa kazi ikiwemo migodini,inayozalishwa na kusambazwa na kampuni ya #InfinityInterglobal katika maonesho ya Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini.
#MsumbaNewsBlogUpdates
Katika Jukwaa la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikwishaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini. Hongera sana Wizara na Tume ya Madini kwa hamasa hii kubwa ya Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini 👏🏼
#madinininimaishanautajiri
Tumeyamadini
Wizara ya Madini
'Jukwaa hili ni maalum kwa ajili ya kujadili changamoto zilizopo kwenye Sekta ya Madini na kuziboresha zaidi. Tunapotunga sheria na miongozo changamoto hazikosekani, Serikali sikivu,' Katibu Mtendaji -Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba.
#LocalContent
Tumeyamadini
Tupe maoni yako.
Ukiwa mdau mkubwa wa jukwaa la #ElimikaWikiendi ni kipi unaona tuboreshe kwenye vipindi vyetu vya Jumamosi?
Leo hii Usikose kufatilia uzinduzi rasmi wa #WikiYaAzaki2024 wadau wa maendeleo kupata taarifa muhimu kuhusu jukwaa kubwa la maendeleo.
#CSOWeek2024Launch