Kizito(@Kizito_tz) 's Twitter Profile Photo

Maudhui mazuri yanakusaidia kuuza na kufikia watu wengi kwenye mitandao ya kijamii , usiogope kuanza Kama unataka kuwa mraghabishi . Wakati wa kuanza ni sasa , kesho utakua umechelewa Sana '

Maudhui mazuri yanakusaidia kuuza na kufikia watu wengi kwenye mitandao ya kijamii , usiogope kuanza Kama unataka kuwa mraghabishi . Wakati wa kuanza ni sasa , kesho utakua umechelewa Sana ' #KijanaMkakati
account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

Join our transformative journey as we strengthen our organizational capacity from the ground up. In this video, witness the evolution of TAYOBECO's leadership, financial management, program design, and monitoring processes amongst others.

Part 2.

account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

Happy International Workers' Day!

Today, we celebrate the dedication, hard work, and invaluable contributions of workers around the 🌍.

TAYOBECO is committed to empowering youth and advocating for their rights.
💪✨

#InternationalWorkersDay #TAYOBECO 
#KijanaMkakati
#YOHETA
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mambo yanayozingatiwa na taasisi za kifedha kabla ya kukukopesha
▪︎ Tabia (Kukopa na kurejesha)
▪︎ Uwezo wa kukopa
▪︎ Mtaji ulionao
▪︎ Dhamana
▪︎ Historia yako ya kukopa
▪︎ Mengineyo

Siku ya pili ya mafunzo kwa vijana wa vikundi 10 katika kata za Makumbusho, Mwananyamala na Kijitonyama wanao jishughulisha na ujasiriamali watajifunza
▪︎ Nidhamu ya Fedha

Faida tunazozipata katika mafunzo haya ya
▪︎ kuonekana katika majukwa mengine tukielezea uzoefu wetu
▪︎ Kualikwa kwenda kutoa mafunzo
▪︎ Kushiriki shughuli za vikundi vingine

Mnufaika wa mradi

Faida tunazozipata katika mafunzo haya ya #KijanaMkakati
▪︎ kuonekana katika majukwa mengine tukielezea uzoefu wetu
▪︎ Kualikwa kwenda kutoa mafunzo
▪︎ Kushiriki shughuli za vikundi vingine

Mnufaika wa mradi
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Sifa ya Chapa nzuri inapaswa iwe inavutie na rafiki kwa mazingira uliyopo pia iwe na ujumbe chanya ili itume ujumbe wenye maana

Sifa ya Chapa nzuri inapaswa iwe inavutie na rafiki kwa mazingira uliyopo pia iwe na ujumbe chanya ili itume ujumbe wenye maana

#KijanaMkakati
account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

'Thanks to TAYOBECO, I now have the skills and confidence to start my own business and support my family. I am grateful for their support and mentorship.' - Hussein Temu @achali_ya_mbilimbi - Youth Entrepreneur, Dar Es Salaam.

account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

TAYOBECO attended the inaugural stakeholders meeting of the Tanzania Coalition Against Child Labour (TCACL) in preparation for the World Day Against Child Labour (WDACL). The meeting took place at the Legal and Human Rights Center (LHRC) in Dar es Salaam.

Sonnino⚡(@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

'Tunawasaidia Vijana kupata masoko kutoka katika Balozi zetu zilizopo katika Nchi Mbalimbali Wanapokuja nchini kutafuta bidhaa kwakua wanaanzia SIDO, Bila Kujiunga nasi Hizi Fursa zitakupita Kijana Mjasiliamali.'

Foundation for Civil Society

'Tunawasaidia Vijana kupata masoko kutoka katika Balozi zetu zilizopo katika Nchi Mbalimbali Wanapokuja nchini kutafuta bidhaa kwakua wanaanzia SIDO, Bila Kujiunga nasi Hizi Fursa zitakupita Kijana Mjasiliamali.'

#KijanaMkakati @FCSTZ
account_circle
Holy(@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya TAYOBECO Tanzania leo imeandaa mafunzo ya chapa, soko la kidigitali na ushiriki wa vijana katika miradi ya kiuchumi kupitia mradi wao wa

Taasisi ya @tayobeco leo imeandaa mafunzo ya chapa, soko la kidigitali na ushiriki wa vijana katika miradi ya kiuchumi kupitia mradi wao wa #KijanaMkakati
account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

Take a moment today to check in with yourself and those around you.
Let's support each other's mental health journeys with empathy and understanding.

#mentalhealthawareness
#MentalHealth
#TAYOBECO 
#YOHETA
#KijanaMkakati
account_circle
TAYOBECO Tanzania(@tayobeco) 's Twitter Profile Photo

'🌱 Ensuring organizational sustainability begins with engaging stakeholders! 🌍 Join us as we champion collaboration for a brighter future.

 #KijanaMkakati #CLM #YOHETA #AfyaBora #TAYOBECO #Sustainability
account_circle