Mike Sonko(@MikeSonko) 's Twitter Profile Photo

First it started with 'Yaliyo ndwele sipite' now we have this. My fellow Kambas, Kiswahili tuwachie waswahili 🤣

account_circle
Latto 𝕏(@Rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Mzungu kutoka Chuga huyu anakiongea kiswahili cha Ndani ndani kabisa 😂😂😂

Anasema hajasomea kiswahili..

Video Kwa Comments👇🏾

Mzungu kutoka Chuga huyu anakiongea kiswahili cha Ndani ndani kabisa 😂😂😂

Anasema hajasomea kiswahili..

Video Kwa Comments👇🏾
account_circle
Brendan Awino(@BrendanAwino) 's Twitter Profile Photo

Ata mwalimu mwenyewe ajui kiswahili ati seme kwa nguvu ajui kiatu iko ngeli gani ety huyu?? point of correction hizi ni viatu za Tony yawa Jo Homabay eeei otek matin🤣🤣🤣🤣

account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

On ya imepiga story na mtangazaji maarufu Kenya Mzazi Willy M. Tuva akitaja wimbo wa Kiswahili ulio Hit Dunia.

Usiache kusikiliza kuanzia saa 3:00 - 6:00 usiku kila siku ya J3 mpaka Alhamisi.

account_circle
Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

Msanii mkongwe na miongoni mwa washairi wakubwa nchini na Afrika Mashariki, Amir Sudi Andanenga amefariki dunia usiku wa Mei Mosi, 2024.

Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Chama cha Usanifu wa Kiswahili na Ushairi nchini (UKUTA), marehemu Andanenga amekutwa na umauti…

Maalim Nash(@Nashemcee) 's Twitter Profile Photo

KISWAHILI KIMEFIWA.

Amir Soud Andanenga hatunaye tena Duniani, Gwiji wa ushairi maarufu kwa jina la SAUTI YA KIZA, Kwa wapenzi na wakereketwa wa Kiswahili bila shaka tumepata pengo kubwa sana.

Atazikwa leo katika makaburi ya Kinondoni In Shaa Allah.

Mwenyezi Mungu amhifadhi.

Zoom Afrika(@zoomafrika1) 's Twitter Profile Photo

Top 10 Africa's Most Spoken Languages

1. Kiswahili (Over 202 Million speakers)
2. Hausa (120Million speakers)
3. Amharic (57Million speakers)
4. Yoruba (50Million speakers)
5. Igbo (45Million speakers)
6. Fulani (41.6Million speakers)
7. Oromo (37.4Million speakers)
8. Berber…

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Gwiji la Kiswahili na Mshairi maarufu nchini AMIRI ABDALLAH SOUD ANDANENGA (Sauti ya kiza), amefariki asubuhi hii.

Maziko Gwiji huyo yanatarajia kufanyika leo saa 10 alasiri katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam.

#KitengeUpdates
account_circle