Varta24 | वार्ता 24(@Varta24Live) 's Twitter Profile Photo

Gujarat: अंतरराष्ट्रीय पतंग महोत्सव का आगाज, रंग-बिरंगी पतंगों के बीच लोग लेकर पहुंचे 'राम' की छवि वाली पंतग

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Rais wa klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA) Eng.Hersi Said alimualika Waziri wa Michezo wa Ivory Coast Adjé Silas na kuzungumzia mambo mbalimbali ya maendeleo ya Klabu hiyo na michezo kwa ujumla.

#KitengeSports
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

“Coastal wamestahili walichokipata na wamecheza vizuri, maana kuna wengine walikula 5”____ @alikamwe akizungumza baada ya mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union kumalizika huku Yanga akiibuka mshindi wa 1-0.

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Afisa wa habari wa Simba Ahmed Ally akifuatilia mbungi la timu yake dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Mkapa pambano lililomalizika kwa Simba kulala mabao 2-1.

Milango imekuwa migumu mpaka mapumziko katika dimba la Azam Complex, Chamazi kati ya wenyeji, Yanga Sc dhidi ya Wagosi wa Kaya.

HT: Yanga SC 0-0 Coastal Union

Samalen Tips🤴(@Samalentips) 's Twitter Profile Photo

Drake aliweka dau la $500,000 kwa Adesanya kushinda na kujishindia $885,000 lakini pia aliweka dau la $400,000 ili ashinde kwa KO na kujikusanyia dola milioni 1.8 ambapo jumla ameshinda takribani dola milioni 2.7
Nini maoni yako?? Retweet tuone maoni....
Source : kitengesports

Rakesh Barman(@Rakesh_Barman5) 's Twitter Profile Photo

jump 🔥🔥
90' GOOOAL Harvey Elliott anapigilia msumari wa nne kwa Liverpool dhidi ya Luton Town.

Liverpool 4-1 Luton Town
⚽ Van Dijk 56'
⚽ Gakpo 58'
⚽ Diaz 71'
⚽ Elliott 90'
⚽ Ogbene 13'

Ni katika mchezo wa Ligi Kuu England.

#Diaz jump 🔥🔥
90' GOOOAL Harvey Elliott anapigilia msumari wa nne kwa Liverpool dhidi ya Luton Town.

Liverpool 4-1 Luton Town
⚽ Van Dijk 56'
⚽ Gakpo 58'
⚽ Diaz 71'
⚽ Elliott 90'
⚽ Ogbene 13'

Ni katika mchezo wa Ligi Kuu England.

#KitengeSports
account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Simba SC ni Mabingwa wa kombe la Muungano 2024 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.

FT: FT: SIMBA SC 1-0 AZAM FC
77’—⚽️Babacar Sarr.

Kariakoo derby inaelekea mapumzikoni huku Wananchi, Young Africans Sc wakiwa mbele 2-0 dhidi ya Watani zao, Simba SC.

HT: YANGA SC 2-0 SIMBA SC
⚽ Aziz Ki (P) 20'
⚽ Guede 37'

Je dhahama ya 5-1 itajirudia?

Freddy Michael Kouablan anawapeleka Simba Sc mapumzikoni vifua mbele dhidi ya KVZ FC katika dimba la Amaan Complex, Zanzibar.

HT: KVZ Fc 0-1 Simba Sc
⚽ Kouablan 25'

Ni katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Muungano 2024.

3—5—2(@SwahiliSoka) 's Twitter Profile Photo

FT : SIMBA SC 1-5 YANGA SC
⚽ Kibu 9'
⚽ Musonda 03'
⚽⚽ Maxi 64' 77'
⚽ Aziz Ki 73'
⚽ Zouzoua 85'

Mara ya mwisho timu hizi kufungana magoli matano ilikuwa Mei 6, 2012 ambapo Simba SC ilishinda 5-0 dhidi ya Yanga. Leo mzani yamejirudia.