Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa(@UNEP_Kiswahili) 's Twitter Profile Photo

Kuhifadhi misitu ni mojawapo ya njia mwafaka za kukabiliana na . Tunapoelekea , fahamu jinsi UNEP inavyofanya kazi kuhifadhi na kuboresha mifumo ya ekolojia ya misitu : decadeonrestoration.org/types-ecosyste…

Kuhifadhi misitu ni mojawapo ya njia mwafaka za kukabiliana na #ClimateCrisis. Tunapoelekea #SikuYaMisitu, fahamu jinsi UNEP inavyofanya kazi kuhifadhi na kuboresha mifumo ya ekolojia ya misitu #KwaManufaaYaWatuNaSayari: decadeonrestoration.org/types-ecosyste…
account_circle
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa(@UNEP_Kiswahili) 's Twitter Profile Photo

Nguzo kwa maisha yetu sote, misitu hushikilia kumbukumbu za dunia na hatima yetu kwenye mizizi yake.

Wakati huu wa na kila siku, sisi sote tuithamini na kujitolea kuitunza .

unep.org/topics/forests

account_circle