Mandela Mwanza(@thirdeyemalawi) 's Twitter Profile Photo

How can someone write a list like this and forget to add Gwamba πŸ‡²πŸ‡Ό to the list of rappers I inspired πŸ˜‚πŸ˜‚ y'all play too much smh πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ

How can someone write a list like this and forget to add @GwambaOfficial to the list of rappers I inspired πŸ˜‚πŸ˜‚ y'all play too much smh πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈ
account_circle
kobiko(@iammwanjala) 's Twitter Profile Photo

Yanga itacheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Tanzania Prison CCM kirumba mwanza na ni mchezo utakaotumika kuwakabidhi wananchi ubingwa wao wa Mara ya 30. Mchezo huu ilibidi upigwe Chamanzi, lakini ili Parade linoge wataenda kukabidhiwa kombe Lao Mwanza.

EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

WANAFUNZI SAUT KILA WAKIPATA 'BOOM' WANAVAMIWA

Baada ya uwepo wa matukio ya baadhi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuvamiwa na kujeruhiwa na wahalifu hasa wakati wanopopata pesa za kujikimu, ikiwemo wanafunzi wawili wa chuo cha SAUT Mwanza ambao mmoja amekatwa kidole mwingine

account_circle
Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ambaye ni mdau wa Michezo na Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Mara amekabidhi kiasi cha Shilingi Milioni 10 kwa Biashara United ya Musoma iwasaidie kwenye mechi za 'Playoff'

#KitengeSports
account_circle
jenny_vie(@manza_jenevie) 's Twitter Profile Photo

Best gift ever for our maldits Yzeinnah Reign, greetings from MarVen πŸ’™ We really appreciated you both , thank you kasi once niyo nalang nakita baby ko
(the youngest member of Royals) pero di niyo na nakalimutan 😍 Mahal na mahal namin kayo Marco C. Gallo Heaven Peralejo πŸ‡΅πŸ‡­ heavenperalejo.eth πŸ’™

account_circle
LUSAJO(@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

I’m so Excited to go to Mwanza soon!

Looking forward to connecting with my people, enjoying the beautiful Lake Victoria, and the delicious Sangara fish.

For any official or personal enquiry drop message in my DM

Mwanza See you soon!

Azam TV(@azamtvtz) 's Twitter Profile Photo

CRDB BANK FEDERATION CUP: Nusu fainali ya kwanza inapigwa kesho kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza na itawakutanisha Azam FC vs Coastal Union.

Kuelekea mchezo mchezo huo, hawa ni wachezaji wa pande zote mbili akiwemo Nathaniel Chilambo na Crispin Ngushi wakizungumzia maandalizi

account_circle
Felix Jasson(@Iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Updates πŸ‘‡

Baadhi ya viongozi wa Azam πŸ‡ΉπŸ‡Ώ usiku wa kuamkia leo wamepata ajali maeneo ya dulima wakati wakiwa njiani kuelekea Mwanza kwenye mechi ya Kombe la CRDB dhidi ya Coastal

Meneja wa masoko wa klabu hiyo Tunga Ali amepelekwa St. Joseph Dumila kwaajili ya matibabu zaidi