Mirai Promotions πŸ‡°πŸ‡ͺ(@MiraiPromotions) 's Twitter Profile Photo

'Nilizindua album yangu ya Melody na rap mwezi huu na nimekuwa nikifanya mashow katika miji kama Nanyuki na Meru. Weekendi hii ntakuwa pale Naivasha nikiifanyia promotion!' #Toshanisha Radio Citizen DJ Flash Kenya Mzazi Willy M. Tuva

'Nilizindua album yangu ya Melody na rap mwezi huu na nimekuwa nikifanya mashow katika miji kama Nanyuki na Meru. Weekendi hii ntakuwa pale Naivasha nikiifanyia promotion!' @Monajamwenyewe #msetoHipHopTuesday @RadioCitizenFM @djflashkenya @mzaziwillytuva
account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

Monaja : Kuna wakati ambao tulikuwa tunaambiwa yakwamba maisha yatakua poa halafu ushuru ukaongezwa, gharama ya maisha pia inazidi kupanda


account_circle
Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

Monaja : Katika wimbo wangu 'Hauna Kismart' funzo ilikua usichukulie vitu kwa uzito saa zingine yale magumu ambayo unayapitia ukijichekelea unaskia nikama uzito umepungua


account_circle