NI FURAHA SANA HAPPY BIRTHDAY MAMA YANGU KWA MARA YA KWANZA NAPOST MAMA YANGU❣️😋🔥,
MIAKA MINGI KWAKO NIKISEMA NIKUONGELEE SITAMALIZA, MUNGU AKULINDE MAMA!
#Mamanimama #Nanikamamama
The Party Branches Revitilization continues. Party Representatives from Naivasha and Gilgil Subcounties, Nakuru County. The love for our PL Martha Karua SC is overwhelming.
#UONGOZIBORA
#FORMNIMAMA
#NANIKAMAMAMA
Behold the great machakos county governor who has a big heart for her people.we the youths we've said thank you for considering us.
Wavinya Ndeti Oduwole, EGH #nanikamamama
'Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena' - Nape Moses Nnauye
#Kurasa365ZaMama
#NaniKamaMama
#7bisha
Tunaanza na tulipoishia jana. Hakika inapendeza ndugu katika afya wakaapo pamoja. 💙
KULA CHUMA HICHO❕😅🎵🎶
Viva MEWATA Viva❕ Medical Women Association of Tanzania
#MEWATAScientificConference2023
#NaniKamaMama
Kuelekea Wiki ya Kurasa 356 za Mama Kitabu cha Pili, Tunamtambulisha rasmi Wizara ya Maji, Kama Mshirika wetu rasmi.
#NaniKamaMama
Likia ASTU police offices and Officers houses complete.
#KaziKwaMpango
#NaniKamaMama
#keepingthepromise
MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Amekamilisha Miradi mitano (5) ya Viwanja vya Ndege, vyenye jumla
ya njia ya kuruka ndege kilometa 10.77 vilivyogharimu jumla ya
Shilingi Bilioni 146.41
#MiwiliyaSamia #NanikamaMama #kaziiendelee
'Jana niliona utani, nampigia Msigwa (Gerson Msigwa) namwambia hebu maliza mpira haraka mimi pesa zimeisha.
Nataka niwahakikishie Mama bado anazo pesa, wekeni mipira kwenye wavu jengeni jina la Nchi yetu.' Rais Samia Suluhu Hassan
#NaniKamaMama
#7bisha
Great Day at Medical Women Association of Tanzania AGM.
As a tradition, I will write a piece about it this year just like I did last year. 🤍💙
#NaniKamaMama
This is the completion project of the 8-door toilet, with a special needs facility and urinal at Njoro Technical Training Institute (TTI).
#HapaNiKaziTu
#NaniKamaMama