Clouds Media(@CloudsMediaLive) 's Twitter Profile Photo

'Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena' - Nape Moses Nnauye



'Wale wafanyabiashara waliokuwa wakiuza fedha za kigeni ambao maduka yao yalifungwa na fedha zao zikachukuliwa machozi yao yamefutwa kwa kurudishiwa fedha zao na kuruhusiwa kufungua maduka tena' - @Nnauye_Nape

#Kurasa365ZaMama
#NaniKamaMama
#7bisha
account_circle
Miro Jr.(@mirotanzania) 's Twitter Profile Photo

Mwambie neno lolote Mama siku ya leo kwa mema aliyokutendea naitaji Retweets nyingi ili tuwakumbushe watu wote umuhimu wa Mama

Mwambie neno lolote Mama siku ya leo kwa mema aliyokutendea naitaji Retweets nyingi ili tuwakumbushe watu wote umuhimu wa Mama 
#NaniKamaMama
account_circle
Wema Sepetu(@wema_sepetu) 's Twitter Profile Photo

Asante sana Rais wetu Samia Suluhu kwa kuonesha Mfano mzuri na jitihada za kupambana na janga hili la Corona… Watanzania tunaona juhudi zako 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 😍😍😍

Asante sana Rais wetu @SuluhuSamia kwa kuonesha Mfano mzuri na jitihada za kupambana na janga hili la Corona… Watanzania tunaona juhudi zako 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 #nanikamamama😍😍😍
account_circle
NARC Kenya Party(@narckenya) 's Twitter Profile Photo

The Party Branches Revitilization continues. Party Representatives from Naivasha and Gilgil Subcounties, Nakuru County. The love for our PL Martha Karua SC is overwhelming.


account_circle
mackdeo Mackeja shilinde(@MackdeoShilinde) 's Twitter Profile Photo

Tunaokoa 1.7Bil kwa mwaka tulizokuwa tunatumia kununua mafuta ili kusambaza umeme Loliondo. Katika kipindi cha mwaka mmoja cha Rais. Samia Suluhu Hassan, mradi wa Bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere linajengwa kwa kasi kiasi umefikia 60% kwa sasa.

Tunaokoa 1.7Bil kwa mwaka tulizokuwa tunatumia kununua mafuta ili kusambaza umeme Loliondo. Katika kipindi cha mwaka mmoja cha Rais. Samia Suluhu Hassan, mradi wa Bwawa la kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere linajengwa kwa kasi kiasi umefikia 60% kwa sasa.
#NaniKamaMama
account_circle
Ingolan Yassin(@IngolanYassin) 's Twitter Profile Photo

To sister Hanifa you are the heroine of my time , keep the spirit, May Allah grant you more years to serve humanity. You're an inspiration to many .Love you for Allah's sake. Be blessed for forever.

To sister @Honeyfarsafi you are the  heroine of my time , keep the spirit,  May Allah grant you more years to serve humanity. You're an inspiration to many .Love you for Allah's sake. Be blessed for forever.
 #NaniKamaMama
account_circle