Semaji Ahmed Ally akizungumzia kuondoka kwa Kocha Benchikha na ujio wa Kocha Juma Mgunda kukiongoza kikosi.
Video kamili ingia YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
Namna tulivyojihakikishia nafasi ya kucheza fainali ya Kombe la Muungano 2024. #WenyeNchi #NguvuMoja
Babacar Sarr alivyotuinua Wanasimba na goli lililotupa ubingwa wa Kombe la Muungano 2024. #WenyeNchi #NguvuMoja
Kocha Abdelhak Benchikha akizungumzia maisha yake ndani ya Simba, sababu ya kuomba kuondoka na neno lake la mwisho kwa Wanasimba.
Video kamili YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
Kutokea Ruangwa, Lindi Mnyama atakuwepo hapa kazini kuanzia saa 12:00 jioni kuwakabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. #WenyeNchi #NguvuMoja
Freddy Kouablan akizungumzia mchezo dhidi ya KVZ ambao tumeshinda kwa mabao 2-0 akiwa ni mmoja wa wafungaji wa mabao hayo.
Video zaidi ingia kwenye Simba App au YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
Kocha Juma Mgunda yuko hapa Ruangwa, Lindi kukiongoza kikosi. #WenyeNchi #NguvuMoja
Mchezaji Bora wa Kombe la Muungano 2024 ni Fabrice Ngoma. #KombeLaMuungano2024 #WenyeNchi #NguvuMoja