Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Kitendawili....

Apendeza tu akiwa uchi. Huyo ni ____

Wa kwanza kujibu sahihi atapata zawadi ya Kamusi Pevu ya Kiswahili Toleo la Tatu.

Hii ni Nuru ya Lugha na Victor Mulama (7am -11am).

Nahodha Victor Mulama

@vmulamaofficial #NuruYaLugha #UpyaZaidi
account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Shairi; Radio Maisha ni Bora Kuliko Kitambo.....

Hii ni yetu wakuu. Tuendelee kupiga kwa kutuma SMS ya neno KUZA kwa 15601 na kuchagua Radio Maisha.

account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Jibu la kitendawili Jumamosi hii kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama ni.......MAHINDI

Aliyekuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi ni Mwal. Charles Lubinu. Hongera!

Jibu la kitendawili Jumamosi hii kwenye Nuru ya Lugha na Victor Mulama ni.......MAHINDI

Aliyekuwa wa kwanza  kutoa jibu sahihi ni Mwal. Charles Lubinu. Hongera! #NuruYaLugha #UpyaZaidi
account_circle
Radio Maisha(@radiomaisha) 's Twitter Profile Photo

Kaaaribu katika Nuru ya Lugha na Victor Mulama (7am -11am)

Kumbuka upigaji kura wa KUZA AWARDS unaendelea.

Je, umetuma SMS ya neno KUZA kwa 15601 na kuchagua Radio Maisha ukiwa wapi?