millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu. ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ

Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu. #RIPCaptain ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
account_circle
The Magna Carta ๅŒ็†ๅฟƒ ไบบๆ€ง(@RealHauleGluck) 's Twitter Profile Photo

Captain Gadner G. Habash hatunaye tena.

๐Ÿšฉ Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.

๐ŸšฉHakika Sote tunatoka kwa Allah ( ุณูุจู’ุญูŽุงู†ูŽู‡ู ูˆูŽุชูŽุนูŽุงู„ูŽู‰) na kwake tutarejea.

Captain Gadner G. Habash hatunaye tena. 

๐Ÿšฉ Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.

๐ŸšฉHakika Sote tunatoka kwa Allah ( ุณูุจู’ุญูŽุงู†ูŽู‡ู ูˆูŽุชูŽุนูŽุงู„ูŽู‰) na kwake tutarejea. 

#RIPCaptain
account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œGadner alikua mtangazaji aliyekamilika, Sauti yake ilikua ni sauti ya biashara, ndio maana alitumika kwenye matangazo mengi.

Akikaa nyuma ya mic ๐ŸŽค unajua kabisa huyu ni mtangazaji anazungumzaโ€

- Deogratius Rweyunga (Mwakilishi IPP Media)

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œTuishi vizuri na watu, tue na mwisho mwema, Gadner ni mtu wa anga, ndio maana tuliguswa na kushauri mwili wake uwende Kilimanjaro kwa Ndegeโ€

- โ€œJiulize wewe ukitangulia utakua na watu kama hawa? Gadner alikua mtu wa watuโ€

- Steve Nyerere

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

Breaking: Mtangazaji wa Clouds Media, Gadner G Abash amefariki dunia akipatiwa matibabu kwa siku kadhaa kwenye Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œAsilimia 90 ya matangazo ya DSTV amefanya Gadner, sisi DSTV tumepoteza mtu muhimu sana, pole kwa familia na Clouds Mediaโ€

- Baraka Shelukindo (Mwakilishi DSTV)

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œSisi Times tutamkumbuka siku zote Gadner G Habash, alifanya kazi kwa miaka miwili na nusu Times FM kisha akaondoka,

- Aliondoka kwa vizuri na hata alipoondoka tuliendelea kuazungumzaโ€

- Rehure Nyaulawa (MD, Times FM)

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œWiki moja iliyopita nilikwenda Hospitali, tukaongea na Gadner tukapiga story na tukacheka sana, taarifa hizi zilinishtua zilipokuja kwasababu akiniahidi baada ya siku mbili atatoka kurudi nyumbaniโ€

- Muwakilishi wa Tripple 7 Marafiki wa Gadner.

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œHuwezi zungumzia tasnia ya habari nchini bila kumtaja Gadner, Gadner alikua mvumbuzi kwenye kutoa habari, alikua anatoa edutainment kwenye kipindi chao, habari ngumu zilikua zinaburudisha kwenye Jahaziโ€

- Bakari Mwapachu (Mwakilishi Mwananchi Communications

account_circle
Nipashe Tanzania(@Nipashetz) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji Maarufu wa Clouds FM, Gadner G. Habash (Captain) amefariki Dunia leo Aprili 20, 2024.

Captain, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Shinikizo la Damu.

RIPCaptain

โ€ฆ

#TANZIA Mtangazaji Maarufu wa Clouds FM, Gadner G. Habash (Captain) amefariki Dunia leo Aprili 20, 2024.

Captain, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na Shinikizo la Damu.

RIPCaptain

#NipasheMwangaWaJamiiโ€ฆ
account_circle
Uhondo TV(@UhondoTV) 's Twitter Profile Photo

Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu.

๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ

Mtangazaji Mkongwe wa CloudsFM Gardner G. Habash amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) alikokua amelazwa kwa siku kadhaa akipatiwa matibabu. 

#RIPCaptain ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
account_circle
Ndoroboh(@Ndoroboh) 's Twitter Profile Photo

The son of general Ogolla, Bwn. Joel ame cleared the air about the CiCs relationship with the father, sasa utaskia analyst waanze kusema ooh, William Samoei Ruto, PhD alimtishia ana amekuwa compromised atapewa state job...nonsense....zaa general wako

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œWingi huu wa watu (Gadner) angeuona kwa macho angemshukuru Mola wake na angepata nguvu,

- Siku nyingine tupeane taarifa mapema mwenzetu anapokuwa kwenye hali ihitajiyo msaada ili tutoe michango kuokoa uhai wakeโ€

- Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œTunapoishi duniani tuwe baraka kwa wengine, Gadner, maisha yake yote yamekua ni baraka kwa wengineโ€

- Gerson Msigwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mwana Habari.

account_circle
Crown Media(@CrownMediaTZ) 's Twitter Profile Photo

โ€œMungu ameanza kugusa generation ya miaka ya 70, TUJIANDAE! na namna pekee ya kujiandaa ni usimalize siku bila mtu kukwambia ASANTE,

- Clouds FM mmepoteza JIWE, mimi naamini Gadner bado anaishiโ€

- Mhe. Kasesela Mwakilishi Chama Cha Mapinduzi (CCM)

account_circle