Yanga ina watu sahihi wa mpira ndo maana hatuna shida na hofu Mchezaji kuondoka sababu tumeona kilichofanyika kwa Tuisila- Moloko Feisal-Pacome Djuma-Yao Yao Brayson-Kibabage
Wachezaji wengi waliokua bora kwetu waliondoka na kuletwa walio bora zaidi ni hapo tu nakua sina shaka
Guys 1 hour later? I’m at King Shaka International Airport. I’m not even checking my phone by the way. I had told myself that I’d get to the entrance and then switch my phone back on. Sana? When I switch my phone back on? My notifications from him were going off like this: