Radio Citizen Kwenye #£Swalakuu Tina Ogal @abdimunai jama asitishwe hakuna kitu hapo anamwingiza baridi bure hakuna kitu kitafanyika Biafra Eastleigh tuko pamoja ndani ya show babu kubwa #DriveOnReloaded #DriveOnReloaded
Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Ktk #swalakuu huyo mwanamke inamaana kwamba bado wako naushano na ex wake, so kama mwanaume unatosha kumkanya kupokea izo masawadi
Nginyang Tiaty locked
#driveonreloaded
Gideon Ocharo (Uncle charo😁🤔) Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Pablo Mulunda Tina vipii kwenye swalakuu naona kinachochangia mwanamke kuolewa kwa wanaume wawili ama watatu ni umalaya tuu #DriveOnReloaded
Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Tina tembea huku ghetto upatane na mu mama asubuhi akienda kununua breakfast amejifunga leso na hakuna kitu ingine amevaa na wewe uko Tu pale na wewe Ni bachelor 🤔
These streets aren't safe 🤣🤣
#SwalaKuu
#DriveOnReloaded
Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai #DriveOnReloaded
#Swalakuu
Nikiwa Basics Shop Kemodo kwenye Swala kuu huyo Dada alidhania ameangukia mzungu vile wamezoea kuwakulia hapo ameangukiwa kwa hivyo ajipange mapema
Radio Citizen Kadot @abdimunai Kutoka mtwapa kilif county Mimi siwezi mufuata kabisa aende roho safi kama sijamkosea #swalakuu
Peter Kimitei kapbuuses Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Kwenye #Swalakuu Tina na Munai, Subira huvuta heri, Mke angengojea Mume wake #DtoveOnReloaded
Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Kwenye #Swalakuu Tina na Munai, Subira huvuta heri, Mke angengojea tu Mune wake #DriveOnReloaded
Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Pablo Mulunda #DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
kwa #swalakuu Munai na Ogal mimi navyiona huyu mwana dada ndio amewaowa awa wanaume coz mwishoe watafuguzwa kama pepepo
Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai #swalakuu
@ogaltina Izo zingine ni za nini?
Ata mbuzi au ngombe uswa mara moja
Nginyang Tiaty getting you loud and clear
#driveonreloaded
Airin's walk! #2-2
go to Arisugawa-kinen-park 有栖川祈念公園!
#streamer #streamer girl #twitch irl #twitch girls #japangirl #japantravel #twitch #model
Radio Citizen Tina Ogal
@abdimunai
Radio Citizen
Goodevening
Nginyang Tiaty getting you strength five
Hapo kwa #swalakuu mimi namshauri atulie juu hapo hakuna kesi yeye atafute vile atalipisha China ya maji apate pesa zake kutoka kwa mchumba yake
#driveonreloaded
Radio Citizen Tina Ogal Pablo Mulunda Kutoka Isoge scheme nyamira kaunti Mimi nasema Kama amekua jeuri ambia Bwana amurudishe kwao, mbona utezeke na mawazo aende awape wakati muafaka wa kutunza jamii yenu #Swalakuu #DriveOnReloaded
Radio Citizen Wachatu aende Sioni apo ndoa,,lisemwalo lipo,asimalizie mwenzake muda,,sai uchumi uko juu ukisonga kanyaga kubwakubwa,kama ni mm siwez kufuata #DriveOnReloaded Tina Ogal @abdimunai Radio Citizen #SwalaKuu
Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai #SwalaKuu
#DriveOnReloaded Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai
Huyu dada asaidie mzee wake. Mke aliumbwa kuwa msaidizi kwa mume wake. Sioni shida ya kutoa usaidizi wa kifedha hapo Tina. Mradi penzi liko imara.
A big old hug from daddy ALWAYS makes things better. So sweet!
Credit: ViralHog
🔸 For more inspiration and uplifting stories, please follow 👉 Epoch Inspired
Kevin Kiboi Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Jared Nyambega Ekwinini Nikiwa hapa maeneo ya kakamega Ingo kwenye #swalakuu Tina uliza munai generali peremende ya jirani Ina mautamu zaidi,Na ukipatikana uchapwe hiyo ni bahati mbaya. #driveOnreloaded
Radio Citizen Tina Ogal @abdimunai Pablo Mulunda Kwenye swalakuu Mimi naona ni umalaya unachangia akuna tafadhalii!! Uganda Niko ndani #DriveOnReloaded