The Sahel Report(@Tydeturn) 's Twitter Profile Photo

Congratulations Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ! Tanzania's first electric train had its inaugural trial run from Dar es Salaam to the country's capital, Dodoma. The Tanzania Electric SGR project is reducing travel time from 8 hours between Dar es Salaam and Dodoma to just 3 hours, making it one ofโ€ฆ

account_circle
Massimo(@Rainmaker1973) 's Twitter Profile Photo

By digging these types of holes, people in Arusha Tanzania, managed to transform a desertic region into a sprouting savanna.

[๐Ÿ“น LEAD Foundation]

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Wakati wabunge wa CCM wamejiongezea marupurupu na mishahara yao kwa mwezi kutoka TZS 13 Milioni hadi TZS 18 Milioni, wafanyakazi wa Tanzania wao wameambiwa kitu pekee wanaweza kuongeza ni vitambi na ujauzito kwa sasa. Kwa kweli tuwaweke katika maombi yetu wafanyakazi hawa.

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

โ€ผ๏ธCalling Makonda ๐Ÿ“ฃ๐Ÿ“ฃ
Bashite! Unatafutwa ofisini kwako huko na Bodaboda walipe pesa mlizoahidi za kwenda uwanjani kwenye parade ya Mei Mosi ๐Ÿ™„

Ila CCM kwa sasa 100% wamebaki matapeli!
Ukiwaamini shauri zako ila

account_circle
Nature is Amazing โ˜˜๏ธ(@AMAZlNGNATURE) 's Twitter Profile Photo

Family issues between the dominant male lions and their lionesses, who aggressively push them away.

๐Ÿ“ Ngorongoro Crater, Tanzania

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu wafanyakazi wa Tanzania, neno โ€˜nyongezaโ€™ mwaka 2024 mtalisikia kwenye kuongeza chumvi kwenye mboga tu. Njooni CHADEMA tufanye harakati, hamuoni misuti imenyooka hiyo.

Ndugu zangu wafanyakazi wa Tanzania, neno โ€˜nyongezaโ€™ mwaka 2024 mtalisikia kwenye kuongeza chumvi kwenye mboga tu. Njooni CHADEMA tufanye harakati, hamuoni misuti imenyooka hiyo. #MayDay
account_circle
Peter Madeleka(@PMadeleka) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS!
Leo tarehe 30 April 2024 MAHAKAMA KUU YA TANZANIA-MASJALA KUU DODOMA kupitia KESI YA KIKATIBA NAMBA 7817/2024 Kati ya PETER MADELEKA na KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI, IMEPIGA MARUFUKU USIKILIZAJI wa KESI ZOTE ZA โ€œMAADILIโ€ dhidi ya PETER MADELEKA.

Mwigulu Nchemba, PhD(@mwigulunchemba1) 's Twitter Profile Photo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi moja, Rais anaweza kutokea kona yeyote ya nchi. Ndugu Tundulisu unaweza kuwa MVIVU wa kuisoma Katiba ya nchi yetu, Basi msikilize Baba wa Taifa.

account_circle
Zoom Afrika(@zoomafrika1) 's Twitter Profile Photo

First Miss Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 1967, Theresea Shayo with Miss Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Rosemary Salmon, Miss Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Rosalin Balogun and Miss Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Araba Vroon.

First Miss Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 1967,  Theresea Shayo with Miss Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Rosemary Salmon, Miss Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Rosalin Balogun and Miss Ghana ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Araba Vroon.
account_circle