Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Tanganyika 👏🏽
Passport hii ya zamani itukumbushe kuwa Tanganyika ni nchi kama Zanzibar
Tunahitaji serikali ya Tanganyika na serikali tatu

(Picha kwa hisani ya Hilmi Hilal 🙏🏽)

Tanganyika 👏🏽
Passport hii ya zamani itukumbushe kuwa Tanganyika ni nchi kama Zanzibar
Tunahitaji serikali ya Tanganyika na serikali tatu 

#KatibaMpya #TutaelewanaTu 

(Picha kwa hisani ya @HilmiHilal88 🙏🏽)
account_circle
yohana(@yohana52618868) 's Twitter Profile Photo

Nimemsikiliza huyu mzee, to be honest, hata sielewi kabisa hoja zake na mifano anayotoa ni nonsense and irrelevant kabisa . Tundu Antiphas Lissu aendelee kupiga spana kwenye mshono, yaani amewapatia kabisa MaCCM. Yaani mpaka waseme pooooooh 😂🤣 mpaka

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️Calling Makonda 📣📣
Bashite! Unatafutwa ofisini kwako huko na Bodaboda walipe pesa mlizoahidi za kwenda uwanjani kwenye parade ya Mei Mosi 🙄

Ila CCM kwa sasa 100% wamebaki matapeli!
Ukiwaamini shauri zako ila

account_circle
Beowulf Agate(@KaruruTheHare) 's Twitter Profile Photo

Siku hizi kila nikirudi home after work naingia youtube kumsikiliza Tundu Antiphas Lissu,sina ninachoangalia zaidi ya hotuba za Lissu.
Guys, there is hope with Lissu,a God-given. Let's go with Tundu Lissu. Ukombozi wa Tanganyika na ulinzi wa mali zetu.

Siku hizi kila nikirudi home after work naingia youtube kumsikiliza @TunduALissu,sina ninachoangalia zaidi ya hotuba za Lissu. 
Guys, there is hope with Lissu,a God-given. Let's go with Tundu Lissu. Ukombozi wa Tanganyika #KatibaMpya na ulinzi wa mali zetu.
#TutaelewanaTu
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Waliopokea vipande 30 vya fedha kutoka Abdul na mama yake kusaliti harakati leo wamefikiwa 😃
Eti pesa ni pesa tu? Hata pesa za usaliti ni pesa tu? Yuda Eskariote alikuwa na mawazo kama haya … historia imemhukumu

Lisemwalo lipo, kama hakipo linakuja

mbona?

#TutaelewanaTu mbona?
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

“Abdul na mama yake”
Ila Tundu Lissu! 🤣🤣🤣

Wanahaha tokea jana l “kujibu mapigo” 😁😁😁

Spana ziendelee 🔧👊🏽

“Abdul na mama yake”
Ila Tundu Lissu! 🤣🤣🤣

Wanahaha tokea jana l “kujibu mapigo” 😁😁😁

Spana ziendelee 🔧👊🏽
#TutaelewanaTu
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

“Ametutumia kama toilet paper!”
Tundu Antiphas Lissu anamshushia Samia Suluhu 🤣🤣
Siasa hizi tamu sasa siyo “mama”
Mama!
Chapa spana 🔨🔧 hadi

youtube.com/live/wlv6VZlic…

“Ametutumia kama toilet paper!”
@TunduALissu anamshushia @SuluhuSamia 🤣🤣
Siasa hizi tamu sasa siyo “mama”
Mama!
Chapa spana 🔨🔧 hadi #TutaelewanaTu 

youtube.com/live/wlv6VZlic…
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️ 🚨🚨
Wafamasia wana jambo lao Ummy Mwalimu, MP Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
Wanataka Mkurugenzi wa Mafunzo Dr Laizer awasikie! Hawana imani na kiongozi wao Thabit S Milandu!
Haya mambo ya mitaala msilete siasa aisee! Haya ni mambo ya taaluma na wadau washirikishwe

‼️#Tanzania 🚨🚨
Wafamasia wana jambo lao @ummymwalimu @wizara_afyatz 
Wanataka Mkurugenzi wa Mafunzo Dr Laizer awasikie! Hawana imani na kiongozi wao Thabit S Milandu!
Haya mambo ya mitaala msilete siasa aisee! Haya ni mambo ya taaluma na wadau washirikishwe
#TutaelewanaTu
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

😓Tundu Antiphas Lissu nimesikitika - we siyo fashisti - sema tu ukweli ndo maana ni kipenzi cha watu! Wanywe panadol kama wanaumia 🤣
Ulipokuwa unatetea Zanzibar ndani ya Muungano walikuwa wanafurahi leo unamchapa mama yao mzanzibari wakuite mbaguzi?
Spana ziendelee 🔧

😓@TunduALissu nimesikitika - we siyo fashisti - sema tu ukweli ndo maana ni kipenzi cha watu! Wanywe panadol kama wanaumia 🤣
Ulipokuwa unatetea Zanzibar ndani ya Muungano walikuwa wanafurahi leo unamchapa mama yao mzanzibari wakuite mbaguzi? 
Spana ziendelee 🔧
#TutaelewanaTu
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️ Leo Chifu Hangaya aka Bi Kizimkazi yuko wapi? 🧐
Amegoma kwenda kuongea na wafanyakazi Arusha - kamtuma makamu wake! Why?

🤣🤣
Spana za Tundu Antiphas Lissu zinaweza zikulaze kitandani kama hujajipanga!

‼️ Leo Chifu Hangaya aka Bi Kizimkazi yuko wapi? 🧐
Amegoma kwenda kuongea na wafanyakazi Arusha - kamtuma makamu wake! Why?

🤣🤣
Spana za @TunduALissu zinaweza zikulaze kitandani kama hujajipanga!
#TutaelewanaTu
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️Muungano huu ni shida‼️
TANESCO inauzia umeme ZESCO
Lakini ZESCO ilikuwa hailipi na ilikuwa na deni la bilioni 121 wakati wa Magufuli hadi aliamuru wazimiwe umeme
Chini ya Samia Suluhu deni limemalizwa kindugu
Vurugu tupu!

How it started. How it’s going

‼️Muungano huu ni shida‼️
TANESCO inauzia umeme ZESCO
Lakini ZESCO ilikuwa hailipi na ilikuwa na deni la bilioni 121 wakati wa Magufuli hadi aliamuru wazimiwe umeme
Chini ya @SuluhuSamia deni limemalizwa kindugu
Vurugu tupu! #TutaelewanaTu 

How it started.       How it’s going
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

👋🏽 ‼️Waulizeni hao mawaziri waliokuja kumsema Lissu na kulialia hapa kuhusu ubaguzi:
Je Zanzibar ni nchi au siyo nchi?
Wajibu ndo waendelee 😃

👉🏽Mizengo Pinda alisena si nchi
👉🏽Baraza la Wawaklishi Znz ikang’aka ikasema ni nchi

Wao wanasemaje?
😂😂

Kumbe Mama yao mwongo 🤣
Hajamlipa Tundu Antiphas Lissu stahiki zake anamweka tu kwenye mabango! Naona Lissu alipomchapa akatoa bango!
Angekuwa uraiani halindwi na dola tungemwita tapeli 🤣
Aibuuuuu! Rais mzima hutimizi ahadi!
Chapa spana 🔨

youtube.com/live/wlv6VZlic…

Kumbe Mama yao mwongo 🤣
Hajamlipa @TunduALissu stahiki zake anamweka tu kwenye mabango! Naona Lissu alipomchapa akatoa bango! 
Angekuwa uraiani halindwi na dola tungemwita tapeli 🤣
Aibuuuuu! Rais mzima hutimizi ahadi!
Chapa spana 🔨
#TutaelewanaTu 

youtube.com/live/wlv6VZlic…
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Swali kwa Kizimkazi gang:
Kwa hiyo hapa Mzee Makamba alikuwa anambagua Samia Suluhu ?
Kwa nini alimpa special qualities Samia kwa ukabila wake?
Spana ziendelee tu hadi mbona?

Swali kwa Kizimkazi gang:
Kwa hiyo hapa Mzee Makamba alikuwa anambagua @SuluhuSamia ?
Kwa nini alimpa special qualities Samia kwa ukabila wake? 
Spana ziendelee tu hadi #TutaelewanaTu mbona?
account_circle
Mr Andre's(@AndrewMrAndres) 's Twitter Profile Photo

LISSU yuko sahihi kabisa. Na hii ndio democracy tunayoitaka.Tukosoane bila kuoneana aibu bila kujali upande. Kuna watu wanasema LISSU kaharibu! Mie nasema LISSU anatibu kwenye kweli husema kweli. Tujisahihishe tusiogope kuambiwa ukweli. mbona.

account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

Mtu huyohuyo:

2020 Sukuma Gang - hawafai wanamtetea Rais kwa sababu ni msukuma mwenzao - tuwapinge!

2024 Kizimkazi gang - lazima tumtee Rais kama wazanzibari!

😂😂 ndo ile tunasema nyani haoni kundule - ila acha ikae hivyo!

Hili bango bado lipo barabarani? Maana Tundu Antiphas Lissu alimwambia alipe haki zake na za wengine asiweke picha bila ridhaa yake? 🤣
Jamani tuone mabango ya “mama” tuchambue - jana tumeambiwa Singida ipo kaweka mkono hivi 🙏🏽
Ushauri: Mabango hayawezi kukufanya upendwe

Hili bango bado lipo barabarani? Maana @TunduALissu alimwambia alipe haki zake na za wengine asiweke picha bila ridhaa yake? 🤣
Jamani tuone mabango ya “mama” tuchambue - jana tumeambiwa Singida ipo kaweka mkono hivi 🙏🏽 
Ushauri: Mabango hayawezi kukufanya upendwe
#TutaelewanaTu
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

✊🏽 Tundu Antipas Lissu ‼️
Kachapa siku kadhaa spana kawatoa nduki huko watoto wa Mama aka Kizimkazi gang 🤣

Mitandaoni 👉🏽 Lissu
Bungeni 👉🏽 Lissu
Vikao vya CCM 👉🏽 Lissu
🤣🤣

Jamani tuhakikishe Tundu Antiphas Lissu anachapa hizi spana daily majukwaani 👏🏽
Spana ziendelee

✊🏽 Tundu Antipas Lissu ‼️
Kachapa siku kadhaa spana kawatoa nduki huko watoto wa Mama aka Kizimkazi gang 🤣

Mitandaoni 👉🏽 Lissu
Bungeni 👉🏽 Lissu
Vikao vya CCM 👉🏽 Lissu 
🤣🤣

Jamani tuhakikishe @TunduALissu anachapa hizi spana daily majukwaani 👏🏽
Spana ziendelee #TutaelewanaTu
account_circle