SITE FM RADIO(@Sitefmradio) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha, imesema imewahoji watumishi saba wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, kufuatia tuhuma za kughushi nyaraka, uchepushaji wa makusanyo ya Serikali na ubadhirifu wa fedha za umma

#sitefm
#tukutanekazini
#tukutanesite
account_circle
Neema Lugangira(@neemalugangira) 's Twitter Profile Photo

Baadhi ya Wabunge wa Viti Maalumu tukiwa pamoja na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg Mary Chatanda tumeshikilia Kanga Toleo la Pili ya Sare ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu inayouzwa katika Ofisi za UWT za Mikoa yote Nchini na Ofisi za UWT HQ.

#TukutaneSite #SSH2025
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

Ni Comrade Juma Homera Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (katikati)akiwa katika kongamano la wahariri na wadau wa Uhifadhi mazingira na utunzaji wa vyanzo vya maji linaloendelea hapa ukumbi wa Masiti mkoani Iringa, Mgeni Rasmi ni Dkt: Philip Mpango Makam wa Rais wa Tanzania.

 #Tukutanesite
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh: Jumanne Sagini amewasili mkoani mbeya kwaajiri ya kushiriki siku ya mabalozi na kongamano la usalama Barabarani 2022 lililobeba ujumbe wa kuelekea agenda 20/30 ya usalama Barabarani,muda wa kuchukua hatua ni sasa.

#NEWS Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh: Jumanne Sagini amewasili mkoani mbeya kwaajiri ya kushiriki siku ya mabalozi na kongamano la usalama Barabarani 2022 lililobeba ujumbe wa kuelekea agenda 20/30 ya usalama Barabarani,muda wa kuchukua hatua ni sasa.
#Tukutanesite
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa nchi ofisi ya Makam wa Rais muungano na mazingira seleman Jaffo amewataka wafugaji walioingiza mifugo katika hifadhi ya Taifa RUAHA kuiondoa kwa hiari ndani ya wiki tatu kabla hawajachukuliwa hatua za kisheria.

#Tukutanesite #tukutanekazini
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

Naibu waziri wa maji Eng: Marryprisca mahundi ameungana na waumini wa kanisa la viziwi mkoani Mbeya kuadhimisha siku ya viziwi Duniani na kuahidi kushughulikia changamoto zinazowakabili ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa kiwanja kwaajiri ya ujenzi wa kanisa.

#NEWS Naibu waziri wa maji Eng: Marryprisca mahundi ameungana na waumini wa kanisa la viziwi mkoani Mbeya kuadhimisha siku ya viziwi Duniani na kuahidi kushughulikia changamoto zinazowakabili ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa kiwanja kwaajiri ya ujenzi wa kanisa.
#Tukutanesite
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

TUTAOTESHA MADARASA KAMA UYOGA.
Tunamshukuru Rais Samia ametupatia sh.bilioni2.6 kwaajiri ya ujenzi wa madarasa na mimi nawahakikishia Mbeya Tutaotesha Madarasa kama Uyoga.
RC HOMERA akipokea Taarifa ya utekelezaji wa zoezi la Sensa 2022

#NEWS TUTAOTESHA MADARASA KAMA UYOGA.
Tunamshukuru Rais Samia ametupatia sh.bilioni2.6 kwaajiri ya ujenzi wa madarasa na mimi nawahakikishia Mbeya Tutaotesha Madarasa kama Uyoga.
 RC HOMERA akipokea Taarifa ya utekelezaji wa zoezi la Sensa 2022
#Tukutanesite #tukutanekazini
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

WA AJALI WAWAIBUA VIONGOZI WA DINI.
Viongozi wa dini ya kiislamu na kikristo mkoani Mbeya wameungana kuliombea eneo la shamwengo kata ya Inyala kumsihi MUNGU akomeshe ajali zinazojitokeza mfululizo katika eneo hilo
Hakuna lisilowezekana kwa MUNGU

#UKITHIRI WA AJALI WAWAIBUA VIONGOZI WA DINI.
Viongozi wa dini ya kiislamu na kikristo mkoani Mbeya wameungana kuliombea eneo la shamwengo kata ya Inyala kumsihi MUNGU akomeshe ajali zinazojitokeza mfululizo katika eneo hilo
#NB Hakuna lisilowezekana kwa MUNGU
#Tukutanesite
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amefungua kongamano la Wachungaji na Wainjilisti Wanawake linalofanyika katika ukumbi wa Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) Jijini Mbeya leo Oktoba 6, 2022.

#NEWS Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), amefungua kongamano la Wachungaji na Wainjilisti Wanawake linalofanyika katika ukumbi wa Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU) Jijini Mbeya leo Oktoba 6, 2022.
#Tukutanesite #tukutanekazini
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

Ni mkuu wa mkoa wa Mbeya Comrade Juma Homera(kulia) akiwa na Waziri wa maliasili na utalii Balozi Pindi Chana(katikati) wakiingia ukumbini kwaajili ya ufunguzi wa program ya uhifadhi nyanda za juu kusini na RUAHA-KATAVI

#NEWS Ni mkuu wa mkoa wa Mbeya Comrade Juma Homera(kulia) akiwa na Waziri wa maliasili na utalii Balozi Pindi Chana(katikati) wakiingia ukumbini kwaajili ya ufunguzi wa program ya uhifadhi nyanda za juu kusini na RUAHA-KATAVI

#Tukutanesite #tukutanekazini
account_circle
SITE TV(@rssereed) 's Twitter Profile Photo

WA AJALI WAWALETA VIONGOZI WA DINI.
Viongozi wa dini ya kiislamu na Kikristo mkoani Mbeya wameungana kuliombea eneo la shamwengo kata ya Inyala kumsihi MUNGU aweze kukomesha matukio ya ajali yanayojitokeza mfululizo.
Hakuna lisilowekana kwa MUNGU.

#UKITHIRI WA AJALI WAWALETA VIONGOZI WA DINI.
Viongozi wa dini ya kiislamu na Kikristo mkoani Mbeya wameungana kuliombea eneo la shamwengo kata ya Inyala kumsihi MUNGU aweze kukomesha matukio ya ajali yanayojitokeza mfululizo.
#NB Hakuna lisilowekana kwa MUNGU.
#Tukutanesite
account_circle
Realtor(@realtor_tz) 's Twitter Profile Photo

Anza Asubuh yako na kwa sala..❣️

Ukiamini ya kwamba kupitia sala ndio utaweza fanikisha Yale Malengo yako uliyokusudia kwa Mwaka huu

Anza Asubuh yako na kwa sala..❣️

Ukiamini ya kwamba kupitia sala ndio utaweza fanikisha Yale Malengo yako uliyokusudia kwa Mwaka huu

#TukutaneSite
#ArdhiAdvisor
#ArdhiForum
account_circle