Okoa Mimea Asili(@Okoa_MimeaAsili) 's Twitter Profile Photo

Kama wadau wa mazingira tumevutiwa na kauli mbiu ya Uhuru wa Vyombo Vya habari

'Uandishi wa habari na mabadiliko ya tabianchi' kama wadau tutashiriki hapa Dodoma

Kama wadau wa mazingira tumevutiwa na kauli mbiu ya Uhuru wa Vyombo Vya habari

'Uandishi wa habari na mabadiliko ya tabianchi' kama wadau tutashiriki hapa Dodoma #WPFD2024 #OkoaMimeaYaAsili
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Kampuni ya uzalishaji bidhaa mbalimbali ya METL, leo imetambulisha rasmi Kampuni mpya ya MO FINANCE itakayojihusisha na utoaji wa mikopo ya vyombo vya usafiri aina ya pikipiki za miguu miwili na zile za miguu mitatu maarufu zaidi kama bajaji.

Akizungumza kwenye uzinduzi huo

Dr. Chris Cyrilo(@DrCyrilo) 's Twitter Profile Photo

Bunge litenge vikao vya mambo ya Muungano na yasio ya Muungano.
Kwenye mambo yasio ya Muungano wabunge kutoka Znz wasuwepo kama ambavyo hakuna wabunge kutoka bara kwenye baraza la wawakilishi la Znz!

Why Wabunge wa Znz walipwe posho kujadili mambo ya bara yasio ya Muungano?

Kengold fc(@kengoldoffical) 's Twitter Profile Photo

Tumesikia vilio vyenu wote mlio onewa na 🐸 hasa mwakarobo sasa mtetezi wenu kaja kuwalipizia visasi vya vipigo mlivyo pokea kuweni wapole vijana.
Tuwukeeee!!!

Tumesikia vilio vyenu wote mlio onewa na  🐸 hasa mwakarobo sasa mtetezi wenu kaja kuwalipizia visasi vya vipigo mlivyo pokea kuweni wapole vijana.
Tuwukeeee!!!
account_circle
Gaure(@gauremdee) 's Twitter Profile Photo

Kuelewa vyeo vya kijeshi inaweza kuwa ngumu, hasa linapokuja suala la kujua vyeo vya kijeshi kwa mpangilio.

Hapa kuna maelezo mafupi ya vyeo kulingana na mfumo wa jeshi la Uingereza ambao nchi nyingi ikiwemo nchi yetu unatumia. Umewahi kutamani kutumikia jeshi? Cheo gani

account_circle
Neema Paul(@Bless_paula26) 's Twitter Profile Photo

Nimeshiriki ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari wenye kauli mbiu 'Uandishi wa habari na changamoto za mabadiliko ya tabianchi'

Nimeshiriki ufunguzi wa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari wenye kauli mbiu  'Uandishi wa habari na changamoto za mabadiliko ya tabianchi' 

#WPFD2024
account_circle
Ms B honey 🌹(@MsB_honey01) 's Twitter Profile Photo

Asali mbichi ipo nyuki wakubwa na wadogo

Ni mbichi kabisa βœ…

Imechujwa tayar kwa matumizi βœ…

Imekidhi viwango vya SIDOβœ…

Haijachakachuliwa kwa namna yoyoteβœ…

Ulipo tunakuletea/ kukutumia βœ…

Call/ watsup - 0752-872612

Kulamba bureeβœ…βœ…

KIRIKUU✏️(@Kirikuu20) 's Twitter Profile Photo

Suti ni ile ile lakini maneno ndio tofautiπŸ˜πŸ™Œ
Ruge aliwahi kusema Vitu vya kuogopa kwenye hii dunia ni MUNGU na tekinolojia.
Video ipo chini.

Suti ni ile ile lakini maneno ndio tofautiπŸ˜πŸ™Œ
Ruge aliwahi kusema Vitu vya kuogopa kwenye hii dunia ni MUNGU na tekinolojia.
Video ipo chini.
account_circle
Ayoub the Great 🧠(@ayoubjohn987) 's Twitter Profile Photo

CMOSS battery ni aina ya betri ndogo inayopatikana kwenye kompyuta au vifaa vingine vya elektroniki ambayo hutumika kuhifadhi tarehe, muda na mipangilio mingine ya msingi hata wakati kifaa hakipo kwenye umeme. Kwa mfano, cmos battery inahakikisha kuwa kompyuta inaweza kuendeleaπŸ‘‡

Hilda Newton(@HildaNewton21) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akuongoza maandamano ya amani yaliyoanzia Malisita, Hai kuelekea viwanja vya mashujaa Moshi Mjini

Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @freemanmbowetz akuongoza maandamano ya amani yaliyoanzia Malisita, Hai kuelekea viwanja vya mashujaa Moshi Mjini
account_circle
Kabigwa_AfyaπŸ’Š(@kabigwa_78) 's Twitter Profile Photo

Fahamu na Jifunze Kuhusu Vyanzo vya Vyakula vyenye Vitamini Nyingi na Umuhimu wake katika Kila kiungo na Eneo la Mwili,

Uzi 🧡,

Like & Repost πŸ”„ Kwa Ajili ya Wengine!

Fahamu na Jifunze Kuhusu Vyanzo vya Vyakula vyenye Vitamini Nyingi na Umuhimu wake katika Kila kiungo na Eneo la Mwili,

Uzi 🧡,

Like & Repost πŸ”„ Kwa Ajili ya Wengine!
account_circle