Young Africans SC(@YoungAfricansSC) 's Twitter Profile Photo

'Ni jambo la heshima sisi kama taasisi kupata jukumu hili la kuipeperusha Air Tanzania nje ya mipaka Tanzania. Ni fahari mno unapokwenda nje ya mipaka ya Tanzania mkiwa na ndege yenu wenyewe. Hivi ndivyo ambavyo Klabu kubwa zinafanya' Ali Kamwe

'Ni jambo la heshima sisi kama taasisi kupata jukumu hili la kuipeperusha Air Tanzania nje ya mipaka Tanzania. Ni fahari mno unapokwenda nje ya mipaka ya Tanzania mkiwa na ndege yenu wenyewe. Hivi ndivyo ambavyo Klabu kubwa zinafanya' @AliKamwe 

#TimuYaWananchi
account_circle