Necto Kitiga(@NectoKitiga) 's Twitter Profile Photo

Hapa ni jimbo la kilolo mkoani Iringa, Hali ya barabara ni kama unavyoiona ni mateso kwa kipindi chote cha masika, Mbunge wake ni NYAMOGA. Ameulizwa ana mpango gani wa dharula kunusuru mazao na biashara za wakazi wa maeneo haya anasema wananchi wawe wavumilivu mpaka mvua zikatike

account_circle
Ayubu Madenge(@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Mkapa ndiye aliyeanzisha mfuko wa Bima ya afya (NHIF) na alisema alijifunza toka kwa Rostam Aziz aliyekuwa Mbunge wa Igunga. 1996 Rostam alianzisha mfuko wa Bima kwa wakazi wa Igunga, ambapo familia yenye watoto 4 ilikuwa inachangia Tsh 10,000 halafu inapata matibabu mwaka mzima.

Hassan Khamis 🇵🇸(@hassankham1s) 's Twitter Profile Photo

Katika Macau, ambayo ni Eneo Maalum la Utawala (SAR) la China, ni lazima kwa wasio wakazi kupata kibali ili kuishi na kufanya kazi. Mfumo huu unasaidia kudhibiti uhamiaji na ajira, na kuhakikisha kwamba wale wanaokuja kuishi au kufanya kazi Macau wanakidhi vigezo vya kisheria na…

Maulid Kitenge(@mshambuliaji) 's Twitter Profile Photo

Wakazi wa Vijiji vya Kisegese, Chiwachiwa na Lavina katika Kata ya Namwawala, Mbingu na Igima wataepuka hatari ya kupoteza maisha baada ya daraja jipya kuanza kujengwa katika Mto Luipa.

Daraja linalotumika sasa ni la mbao linalodaiwa kukatika mara kwa mara na kusababisha vifo na

Ntele Bh(@ntele_bh) 's Twitter Profile Photo

Bariadi imeamua, Tanzania imeamua.Wakazi halisi wa Bariadi wametisha sana.

Unaambiwa Hayo sio majembe....Wachache tunaelewa 😁

Bariadi imeamua, Tanzania imeamua.Wakazi halisi wa Bariadi wametisha sana.

Unaambiwa Hayo sio majembe....Wachache tunaelewa 😁
account_circle
EastAfricaTV(@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

Wakazi wa Kawe wanaoishi pembezoni mwa mto Mbezi, wameiomba serikali iweze kuwawezesha kama wakazi wa mto Msimbazi ili nao waweze kuepukana na athari za maji kujaa na kupelekea nyumba zao kusombwa na maji.

Wakiongea na wamesema kwa sasa wanashindwa kuhama…

account_circle
Martin Maranja Masese(@IAMartin_) 's Twitter Profile Photo

Mkoa wa Tanga una wakazi 2,615,597 na kaya 635,514. Tanga kuna majimbo 12 ya uchaguzi. Zanzibar kuna wakazi 1,889,773 na kaya 380,260. Bunge la Tanzania, Zanzibar ina viti 60 (hii ni nje bunge lao) wakati Tanga ina viti 12. Uwakilishi wa kisanii. Muungano, wanufaika ni Zanzibar.

account_circle
Alexander(@AlesandroJR) 's Twitter Profile Photo

Enyi pia Malaika
Wakazi wa juu
Jongeeni kwa furaha
Kuimbia Mkate huu
Mitume na Manabii
Mabikira Mashahidi
Nanyi Karibuni
Yesu mtukuzeni.

Twende nasi masikini
Mwangukia Yesu
Mpenzi wetu amini
Mlo wa roho zetu
Kwake heri hapa chini
Kwake raha uwinguni
Asifiwe pote
Na viumbe vyote.

Enyi pia Malaika
Wakazi wa juu
Jongeeni kwa furaha
Kuimbia Mkate huu
Mitume na Manabii
Mabikira Mashahidi
Nanyi Karibuni
Yesu mtukuzeni.

Twende nasi masikini
Mwangukia Yesu
Mpenzi wetu amini
Mlo wa roho zetu
Kwake heri hapa chini
Kwake raha uwinguni
Asifiwe pote
Na viumbe vyote.
account_circle
COSMASI MBABA(@CosmasiMbaba__) 's Twitter Profile Photo

Wakazi wa kigamboni mpaka kesho mnawatoza tozo wakipita kwenye Daraja

Leo Tanzanite inafungwa ili kupisha watu wafanye mazoezi..... Dah nchi ya kifara sana hii🙌

Wakazi wa kigamboni mpaka kesho mnawatoza tozo wakipita kwenye Daraja

Leo Tanzanite inafungwa ili kupisha watu wafanye mazoezi..... Dah nchi ya kifara sana hii🙌
account_circle
Fetty Brown(@FMzaramu) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikisha kujenga daraja linalounganisha Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani.

Wakazi wa pwani wamejawa na shukrani kwa serikali kwa kujibu kilio chao.

#MamaYukoKazini
account_circle
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader(@Wakazi) 's Twitter Profile Photo

“Some say Aaadam, would never been blaaaack.. cause a blaack man wouldn’t share his riiiiiibs ribs ribs” - Ye

🥩 🥩 Mmekula?

“Some say Aaadam, would never been blaaaack.. cause a blaack man wouldn’t share his riiiiiibs ribs ribs” - Ye #OffTheGrid

🥩 🥩 Mmekula?
account_circle
EastAfricaRadio(@earadiofm) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Almishi Issa Hazali amethibitisha kutokea kwa mafuriko yaliyosababishwa na maji yaliyotiririka kutoka mlima Hanang na kuharibu mazao ya watu huku wengine 20 wakikosa makazi.

Kufuatia tukio hilo ambalo limeathiri zaidi wakazi wa kijiji cha Gocho

#HABARI Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Almishi Issa Hazali amethibitisha kutokea kwa mafuriko yaliyosababishwa na maji yaliyotiririka kutoka mlima Hanang na kuharibu mazao ya watu huku wengine 20 wakikosa makazi.
 
Kufuatia tukio hilo ambalo limeathiri zaidi wakazi wa kijiji cha Gocho
account_circle
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader(@Wakazi) 's Twitter Profile Photo

Album ya Jaymelody THERAPY hakika ni project nzuri sana.

Uandishi ni top notch, Production (Jini & Aloyname) on point. Jay ame-stick mostly kwenye his seductive sound, ila kaacha a lil room kuonyesha his versatility.

My faves “Sio Sawa”, “Wapeke Yangu”, “Bado”na “Siyawezi”

Album ya @Realjaymelody THERAPY hakika ni project nzuri sana.

Uandishi ni top notch, Production (Jini & Aloyname) on point. Jay ame-stick mostly kwenye his seductive sound, ila kaacha a lil room kuonyesha his versatility.

My faves “Sio Sawa”, “Wapeke Yangu”, “Bado”na “Siyawezi”
account_circle
Hilda Newton(@HildaNewton21) 's Twitter Profile Photo

Mzee Mwinyi ndo aligawa ardhi ya Loliondo kwa Mwarabu lkn hakufukuza Wamasai hata alipoingia Mkapa, Kikwete, Magufuli Wamaasai waliendelea kuishi kwenye maeneo yao bila hofu

Lakin alipoingia Rais Samia mwaka 2022 alitumia jeshi kuhamisha kinguvu wakazi wa Loliondo elfu 97

account_circle
mkushi(@mkushi_jiga) 's Twitter Profile Photo

📍Namtumbo

▶️Serikali imeanza utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi mkubwa wa maji wa Luhimbalilo-Naikes.

▶️Mradi huo utawanufaisha wakazi zaidi ya 15,542 wa vijiji vya Luhimbalilo,Naikes na Luhangano

changamoto ya maji wilaya ya Namtumbo imebaki historia.

📍Namtumbo

▶️Serikali imeanza utekelezaji wa awamu ya pili ya  mradi mkubwa wa maji wa Luhimbalilo-Naikes.

▶️Mradi huo utawanufaisha wakazi zaidi ya 15,542 wa vijiji vya Luhimbalilo,Naikes na Luhangano

#MamaYukoKazini changamoto ya maji wilaya ya Namtumbo imebaki historia.
account_circle