Jana, Wazee 10 kutoka #Bukoba wamepata Tabasamu kwa hisani ya #NeemaNaMaendeleoFund maana kila mmoja amepokea #WazeeFoodPack yenye Mchele Kilo 5, Maharage Kilo 5, Unga wa Sembe Kilo 5, Sukari Kilo 2 na Mafuta ya Kupikia Lita 2. Nawashukuru #NeemaNaMaendeoFund ❤️🙏
Aidha, niwape