Unadhani kati ya Gor na Tusker nani watanyakua ushindi leo? Tuko studioni tayari tukichambua mengi kwenye #weekendwarmup pamoja na Papaaa Mickey @gregorymulemi, na @george_omondi04
Come join the fun! I'll be on at 5pm cst.
#weekendwarmup #progressivehouse #melodictechno #djlife #myownpath
Studioni tunao wachezaji wa kenya-cricket.com usikose kuwasikiza Papaaa Mickey Gregory Mulemi #WeekendWarmUp #OngeaUsikike
Mashabiki wa 🏆Tusker FC na GOR MAHIA FANS CLUB katika una wa Nyayo .
📸 @jb_formative
#WeekendWarmUp #OngeaUsikike #fkf
Radio Jambo #Weekendwarmup nikiwa nyanderema starlight Media fans salàams club nyamira county Niko ndani 🍇
Aliyekuwa Kiungo wa kati wa Harambee Stars Sammy Kempes yuko kwenye studio tayari.
#weekendwarmup
OngeaUsikike
You know it's Thursday because I'm firing up #WeekendWarmup and my wife is going 'oh I love her outfit' about Laura Winter, just like she does every race week
Hongera kwake Faith Kipyegon kwa kuvunja rekodi ya dunia ya mbio za mita 1500👏🏽 #WeekendWarmUp naye Papaaa Mickey Gregory Mulemi
#WeekendWarmUp
#OngeaUsikike
Eti kwa jina la Gor! 😂😂
Tunakuletea mechi kati ya 🏆Tusker FC na GOR MAHIA FANS CLUB kutoka uwanja wa kitaifa wa Nyayo.
Unampigia nani upato?
instagram.com/reel/CsyTONVgq…
#WeekendWarmUp #fkf #OngeaUsikike
Je, unadhani kwamba GOR MAHIA FANS CLUB bado wana nafasi ya kutwaa ubingwa wa KPL ama 🏆Tusker FC wameenda nao?
#WeekendWarmUp #OngeaUsikike
Katika mahojiano haya wachezaji hawa wa cricket walidokeza kuwa changamoto wanazopitia zaidi ni ukosefu wa vifaa vya kutosha,zaidi ya hayo watakua na shindano tarehe 22 mwezi ujao Tanzani#WeekendWarmUp naye Papaaa Mickey #OngeaUsikike
Mada yetu ya leo; Nani walichemsha zaidi kati ya Arsenal na Borussia Dortmund?
#OngeaUsikike
#weekendwarmup
Ili kandanda iweze kuendelea Kenya lazima pesa iwe na si pesa tu bali pesa inayoeleweka🙂 #weekendWarmUp mambo imechemka apa na Diblo Kaberia Elmago diamond okusimba toldoqurya radio jambo #OngeaUsikike
Come out and start your weekend early! Win $100 cash in hot seat drawings every 30 minutes from 7pm - 9pm. #WeekendWarmUp
.🏆Tusker FC wametoka sare ya 0-0 na GOR MAHIA FANS CLUB .
Kinara wa Upinzani Raila Odinga alikuwepo.
#WeekendWarmUp #OngeaUsikike
#Friyay is here! Join our #WeekendWarmup party as we dive into a weekend of non-stop excitement. Share your weekend gaming plans, discuss your favorite games, and get ready for an epic weekend filled with big wins and unforgettable moments!🎊🎮 #FridayFeeling #WeekendVibes