Magenge Ya Mombasa Yazidi:
Maafisa wa usalama eneo hili wawazuilia washukiwa 177
Mashambulizi ya magenge yamerejea Kaunti ya Mombasa
Vijana wanaswa wakiwashambulia wakaazi mjini humu
Baadhi ya wakaazi wanauguza majeraha na hasara pia
#CitizenNipashe Nimrod Taabu