millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Kampuni ya usafirishaji ya Tax Mtandao ya PING leo imetangaza ofa ya kipekee kwa kila Raia ataye-request kwenda Leaders Club kwenye Tamasha la FIESTA ambapo malipo yatagharimu Tsh. elfu mbili tu kwa safari bila kujali anatokea wapi ndani ya Dar es salaam.

Kampuni ya usafirishaji ya Tax Mtandao ya PING leo imetangaza ofa ya kipekee kwa kila Raia ataye-request kwenda Leaders Club kwenye Tamasha la FIESTA ambapo malipo yatagharimu Tsh. elfu mbili tu kwa safari bila kujali anatokea wapi ndani ya Dar es salaam. #FIESTA2022 #WekaMANENO
account_circle
Alikiba(@OfficialAliKiba) 's Twitter Profile Photo

Rock City Mwanza my Home Ground, am super glad we had fun & a great night, Asanteni kwa upendo mkubwa, Love to everyone who came out to have fun.!!




account_circle
Josué Valiente(@JosueValiente47) 's Twitter Profile Photo

¡Comienza la con EL GRÁFICO! Rumbo a Doha me esperan más de 24 horas de viaje, dos escalas y 14 horas de vuelo directo para llegar a la capital de la Copa del Mundo 🇶🇦🔜⏳⌛.

¡Comienza la #Fiesta2022 con @elgraficionado! Rumbo a Doha me esperan más de 24 horas de viaje, dos escalas y 14 horas de vuelo directo para llegar a la capital de la Copa del Mundo #Catar2022🇶🇦🔜⏳⌛.
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Hatimaye kiu ya miaka miwili ya kukosekana kwa Tamasha la FIESTA imemalizwa usiku wa kuamkia leo baada ya Tamasha hilo kufanyika Leaders Club, Jijini Dar es salaam na kuhusisha Wasanii zaidi ya 30.

account_circle
Miss_Salum(@AsiahSalum) 's Twitter Profile Photo

Mwanza heri ya siku kuu ya Burudani

Leo ndio ile siku kubwa kabisa ya kiburudani kwa wakazi wa kanda ya ziwa, kamata ticket yako mapema kisha tukutane CCM KIRUMBA tuka enjoy burudani kutoka kwa wasanii mbali mbali watakao kiwasha leo.

🔥🔥

Mwanza heri ya siku kuu ya Burudani 

Leo ndio ile siku kubwa kabisa ya kiburudani kwa wakazi wa kanda ya ziwa, kamata ticket yako mapema kisha tukutane CCM KIRUMBA tuka enjoy burudani kutoka kwa wasanii mbali mbali watakao kiwasha leo.

#Fiesta2022 #WekaManeno 🔥🔥
account_circle