SCANIA GANG(@skanyika_) 's Twitter Profile Photo

Wanangu kesho ninawapa Subaru Forester kali sana๐Ÿ”ฅ
Rangi nyekundu
Picha asubuhi mtazipata
Usajili B
Nataka 5, maongezi kidogo mno๐Ÿค
Wanangu wa mbio mnicheck mapema

Wanangu kesho ninawapa Subaru Forester kali sana๐Ÿ”ฅ
Rangi nyekundu
Picha asubuhi mtazipata
Usajili B
Nataka 5, maongezi kidogo mno๐Ÿค
Wanangu wa mbio mnicheck mapema
#SubaruBoyz
account_circle
millardayo(@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 zimelazimika kusimama kwa saa zaidi ya mbili mapema leo April 25,2024 katika eneo la Iragua Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro baada ya Mto Rulai kujaa maji yaliyosababishwa na mafuriko na kufunika katika barabara inayounganisha Wilaya yaโ€ฆ

Wolfgang Lab(@mwolfganglab) 's Twitter Profile Photo

New publication from our lab published in mBio!

Mucus polymer concentration and in vivo adaptation converge to define the antibiotic response of Pseudomonas aeruginosa during chronic lung infection
journals.asm.org/doi/10.1128/mbโ€ฆ

account_circle
SLUGGER(@itsslugger) 's Twitter Profile Photo

Kairo checking why he's trending!!! Huyu Rubani mnampeleka mbio, you might think you're trolling him but actually making his brand stronger mangai.

Kairo checking why he's trending!!! Huyu Rubani mnampeleka mbio, you might think you're trolling him but actually making his brand stronger mangai.
account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Kama Yanga akidrop point leo mbio za Ubingwa zinaanza upya, point 4 zinakuwa zimebaki.

Bado hajaenda Kigoma Kwa Mashujaa๐Ÿ˜‚

Kama Yanga akidrop point leo mbio za Ubingwa zinaanza upya, point 4 zinakuwa zimebaki.

Bado hajaenda Kigoma Kwa Mashujaa๐Ÿ˜‚
account_circle
Felix Jasson(@Iamfelixtz) 's Twitter Profile Photo

Quality Over Everything ๐Ÿ”ฅ Ni Wananchi tena na alama zao tatu dhidi ya Mnyama.

โœ… Ni rasmi Simba Sc imechangia alama 6๏ธโƒฃ na mabao 7๏ธโƒฃ kwenye mbio za ubingwa wa Yanga Sc msimu huu

Hey, Congratulations Wananchi kwa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 2023/24

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

#NBCPL ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
account_circle
hassan kibiki ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@kibiki001) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ“Morogoro

Jumla ya miradi 70 yenye thamani ya Sh bilioni 19.9 inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru katika mbio zake mkoani Morogoro zilizonza Aprili 20, mwaka huu baada ya kupokelewa katika wilaya ya Mvomero kutoka mkoani Tanga.

๐Ÿ“Morogoro

Jumla ya miradi 70 yenye thamani ya Sh bilioni 19.9 inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru katika  mbio zake mkoani  Morogoro zilizonza Aprili 20, mwaka huu baada ya kupokelewa katika wilaya ya Mvomero kutoka mkoani Tanga. #MamaYukoKazini
account_circle