SANUKAnaCHAPO(@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Malisa akishirikiana na raia wengine wamepabana hadi mjane amepata nyumba ambayo imejengwa kwa michango ya wananchi.

Tumpe mwana maua yake kabla hajapigwa chepe kwenye futi 6.

Malisa akishirikiana na raia wengine wamepabana hadi mjane amepata nyumba ambayo imejengwa kwa michango ya wananchi.

Tumpe mwana maua yake kabla hajapigwa chepe kwenye futi 6.
account_circle
Dr. Chris Cyrilo(@DrCyrilo) 's Twitter Profile Photo

Tulimualika Mh. Waziri husika kwenye shughuli hii ya kukabidhi nyumba kwa mjane na mhanga wa ukatili wa kijinsia huko Chanika.
Lkn Mh. Waziri husika hakutokea baada ya kushauriwa na Waziri mwingine mwenye kichwa kikubwa, ambaye pia amezuia vyombo vya habari kuripoti taarifa hii.

Msouth small trader Herb’s(@msouthherbs) 's Twitter Profile Photo

MSIWALAUMU SANA WANAUME:

Hata Mimi napenda sana kumuoa mwanamke mjane, huku nikiamini huyo ndio anajuwa nini maana ya maisha

Lakini katika hao hao kwa bahati mbaya, wapo wenye tabia zisizo rekebishika. Kwa mwanamke wa namna hii, MSIWALAUMU wanaume, maana tabia zake ndizo zinazo

GreaterThinker💎(@HopeQuotes__) 's Twitter Profile Photo

Ndugu yangu MalisaGJ unafanya kazi nzuri sanaa, hii ni kazi ya Kitume kabisa kama Mtanzania nina Kupongeza wewe na Taasisi yako ya 'GH Foundation' kwa kushirikiana na Watanzania, kwa Bi- Judith, Mjane alie ishi STEND

Vitu kama hiv huwez kuona Media ziki Promote

Ndugu yangu @MalisaGJ_ unafanya kazi nzuri sanaa, hii ni kazi ya Kitume kabisa kama Mtanzania nina Kupongeza wewe na Taasisi yako ya 'GH Foundation' kwa kushirikiana na Watanzania, kwa #Kumtabasamisha Bi- Judith, Mjane alie ishi STEND

Vitu kama hiv huwez kuona Media ziki Promote
account_circle
James Mbowe(@JamesMbowe4) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya GH Foundation juzi jumapili 5/5 ilikabidhi nyumba yenye thamani ya Milioni 52 kwa Judith Ruhumbika mjane aliyekumbana na ukatili wa kijinsia Baada ya kufiwa na mumewe kitendo kilichopelekea kufukuzwa nyumbani na watoto wake 5. Ambapo baada ya kuondoka Kahama…

account_circle
Lucifer reigns(@Lucifer_reigns) 's Twitter Profile Photo

Bro mimi aliniambia yeye ni mjane bwanake alikufa 7years ago hadi death certificate yako iko mwambie akutolee😂

Bro mimi aliniambia yeye ni mjane bwanake alikufa 7years ago hadi death certificate yako iko mwambie akutolee😂
account_circle
Jambo TV(@Jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO:

Mjane aliyekuwa akilala eneo la Ubungo mataa, jijini Dar es Saalam aliyefahamika kwa jina la Judith lugimbana amekabidhiwa nyumba rasmi ikiwa na samani za ndani kwa ajili ya kuishi yeye na familia yake

Mama huyo ambaye kabla ya hapo alikuwa akilala Ubungo mataa kutokana…

account_circle
Dodoma_Zone(@Dodoma_Zone_) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dr Hussein Ali Mwinyi amewatembelea Wajane wa viongozi mbalimbali akiwemo wa aliyekuwa Muasisi wa Mapinduzi Marehemu Hafidh Suleiman Almasi , Mjane Bi Mtumwa Suleiman Farhan nyumbani kwake Kilimani Juu , Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj @DrHmwinyi amewatembelea Wajane  wa viongozi mbalimbali akiwemo wa aliyekuwa Muasisi wa Mapinduzi  Marehemu Hafidh Suleiman  Almasi , Mjane Bi Mtumwa Suleiman Farhan nyumbani kwake Kilimani Juu , Mkoa wa Mjini Magharibi
account_circle
MwanaHabari(@MwanaHabariNews) 's Twitter Profile Photo

MJANE ALIYEKUTWA AKILALA UBUNGO MATAA JIJINI DAR ES SALAAM AJENGEWA NYUMBA NA GF FOUNDATION.

Mama huyo ajulikanaye kwa jina la Judith Luhimbika ameishukuru taasisi hiyo kwa kumjengea nyumba kwani adha aliyokua anaipata ni kubwa ikiwemo kulala nje kunyeshewa na mvua.

account_circle
HabariLeo(@HabariLeo) 's Twitter Profile Photo

DAR ES SALAAM; MWANAHARAKATI wa masuala ya kijamii, Godlisten Malisa amesema kesho watakabidhi rasmi nyumba ya mjane Judith Ruhumbika iliyojengwa huko Chanika.
-

DAR ES SALAAM; MWANAHARAKATI wa masuala ya kijamii, Godlisten Malisa amesema kesho watakabidhi rasmi nyumba ya mjane Judith Ruhumbika iliyojengwa huko Chanika.
-
account_circle
ROSPA MEDIA(@rospamediatz_) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi amewatembelea Wajane wa viongozi mbalimbali akiwemo wa aliyekuwa Muasisi wa Mapinduzi Marehemu Hafidh Suleiman Almasi , Mjane Bi Mtumwa Suleiman Farhan nyumbani kwake Kilimani Juu.