Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Semaji Ahmed Ally akizungumzia kuondoka kwa Kocha Benchikha na ujio wa Kocha Juma Mgunda kukiongoza kikosi.

Video kamili ingia YouTube - Simba SC Tanzania.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kutokea Ruangwa, Lindi Mnyama atakuwepo hapa kazini kuanzia saa 12:00 jioni kuwakabili Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Kocha Abdelhak Benchikha akizungumzia maisha yake ndani ya Simba, sababu ya kuomba kuondoka na neno lake la mwisho kwa Wanasimba.

Video kamili YouTube - Simba SC Tanzania.

account_circle
Simba Sports Club(@SimbaSCTanzania) 's Twitter Profile Photo

Freddy Kouablan akizungumzia mchezo dhidi ya KVZ ambao tumeshinda kwa mabao 2-0 akiwa ni mmoja wa wafungaji wa mabao hayo.

Video zaidi ingia kwenye Simba App au YouTube - Simba SC Tanzania.

account_circle