Radio Citizen(@RadioCitizenFM) 's Twitter Profile Photo

Pst. Edward Ngaira: Tutembee katika ushirika na watu mwenye hekima ambao wanaweza kukusaidia kama mzazi kudumisha uhusiano mzuri na watoto wako


account_circle
Antony Obindi.(@antonyobindi25) 's Twitter Profile Photo

Radio Citizen
Jeridah Andayi

Nashukuru mungu kuiona siku nyingine hasa ya jumapili.
Dada Jerida Leo nashiriki kanisa la jeshi la wokovu kisangula Tuo hapa Muviki Lugari.

@RadioCitizenFM 
@JeridahAndayi 
#Pambazukajumapili
Nashukuru mungu kuiona siku nyingine hasa ya jumapili.
Dada Jerida Leo nashiriki kanisa la jeshi la wokovu kisangula Tuo hapa Muviki Lugari.
account_circle
ford Kimungui(@fordKimungui4) 's Twitter Profile Photo

Kama kawaita sango mawetatu tayari tumeamka tunabarikiwa hapa..ibaada yangu mimi nitashirki kanisa la pefa Church St Francis sango chini ya mchungaji Martin wanyonyi akisaitiwa na mama pst Sarah nawakaribisha nyote Radio Citizen

account_circle
Peninah mmbone(@PeninahMmbone) 's Twitter Profile Photo

Asante en good morning Nelson kawawa ungwaro nimeamka salama nashukuru Mungu church ni Bethany PAG church kangemi chini ya mchungaji Rev Robert Mugunda barikiwa sana

account_circle