Congratulations Tanzania 🇹🇿! Tanzania's first electric train had its inaugural trial run from Dar es Salaam to the country's capital, Dodoma. The Tanzania Electric SGR project is reducing travel time from 8 hours between Dar es Salaam and Dodoma to just 3 hours, making it one of…
Wakati wabunge wa CCM wamejiongezea marupurupu na mishahara yao kwa mwezi kutoka TZS 13 Milioni hadi TZS 18 Milioni, wafanyakazi wa Tanzania wao wameambiwa kitu pekee wanaweza kuongeza ni vitambi na ujauzito kwa sasa. Kwa kweli tuwaweke katika maombi yetu wafanyakazi hawa.
President Thabo Mbeki got a 2/3 majority and used it to sell SOEs. He was the worst leader of a country. Tanzania has surplus electricity because they are doing things the right way. In Angola petrol in R4. 59 they are doing something good. The ANC has to go. The EFF and MK party
“Mheshimiwa Rais ameniagiza niwaambie wafanyakazi wa Tanzania kuwa endapo hali hii itadumu [kuimarika kwa uchumi] wafanyakazi wawe na matumaini kwamba atasema jambo hivi karibuni.” – Dkt. Philip Mpango katika sherehe za Mei Mosi