Tanzania National Parks
@tzparks
Tanzania National Parks is a parastatal organization which has the mandate to manage all areas designated as National Parks . It manages 21 National Parks
ID:608826775
http://www.tanzaniaparks.go.tz 15-06-2012 06:09:12
2,7K Tweets
29,5K Followers
154 Following
#ChallengeAccepted Road to the Highest Peak in Africa, Mt.Kilimanjaro ✅✅
Don't miss this inspiring journey, vote, and help us make a difference! 🏔️🏆
#VoteNow #ClimbForACause #RamadhaniBrothers #votenow #mountkilimanjaro #serengeti #agt #WTA
Ramadhan Brothers kupanda Mlima Kilimanjaro kwenye Kampeni ya TANAPA ya #VOTENOW nia ikiwa ni kufikisha trophy yao ya ushindi wa America’s Got Talent kwenye kilele kirefu zaidi Barani Afrika, na kukumbusha Watanzania Kupigia Kura Vivutio vya Mlima Kilimanjaro na Serengeti kwenye World Travel Awards
Arusha📍🌙
Tukio hili limewaleta pamoja wadau na watu wenye mahitaji maalum, ambao walipatiwa zawadi mbalimbali kwa ajili ya sikukuu ya “Eid el Fitr” Tunaendelea kuwatakiwa Waislamu wote Mfungo Mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
#TANAPATunajali #RamadhanKareem
Arusha📍🌙
Mgeni rasmi katika hafla hii ya iftar alikuwa Kamishna wa Uhifadhi TANAPA - Musa Nassoro Kuji aliyeambatana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Sheikh Shabaani Jumaa na viongozi wengine waandamizi wa Serikali.
#TANAPATunajali #RamadhanKareem
In promoting hospitality as a sign of love for stakeholders and society in general, Tanzania National Parks has organized a joint event held at the Tanapa HQ in Arusha. The official guest at the event was the TANAPA CC - Musa Nassoro Kuji who was accompanied by the Chief Sheikh of Arusha. #ALT
Katika kuendeleza ukarimu kama ishara ya upendo kwa wadau na jamii kwa ujumla, TANAPA leo imeandaa futari ya pamoja iliyofanyika Makao Makuu ya TANAPA jijini, Arusha.Tunaendelea kuwatakia Waislamu wote Mfungo Mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
#TANAPATunajali #RamadhanKareem
Kareena Kapoor Khan explores Africa's Leading National Park, Serengeti.
📌From Bollywood to the wild plains in the World's Leading Safari Destination 🇹🇿.
Karibu Tanzania, Enjoy the Unforgettable experiences in this beautiful country.
Cc Kareena Kapoor Khan FC