Vivian J Joseph
@vivian_j_joseph
πππ’πππ πππππ§π π¬π’π¨π§π πππ©π’πππ§π | ππππ π€π ππππ‘π©π πΎπ‘πͺπ¨π©ππ§ @SAYoF_Health | πππΆπΉπ±πΆπ»π΄ @Watoto_afrika @youthpowertz
ID:746271400667787265
https://linktr.ee/vivianjjoseph 24-06-2016 09:19:01
18,1K Tweets
23,7K Followers
1,0K Following
Tanzania endorses Dr. Faustine Ndugulile for @whoafro Regional Director candidature.
His 8 strategic priorities will make health systems in Africa to be more resilient.
#WHOAFRO
#VoteTanzania πΉπΏ
Yes, kama tulivyoahidi tutashirikiana na Jeshi la Polisi, tunaanza namna hii. Kesho kupitia Usalama Tv utamsikia Mubashara kabisa Dkt Dr. Godwin Mwisomba akielezea uhusiano kati ya Afya ya Akili na Uhalifu.
#AfyayaAkiliniAfya
#MentalHealthAwarenessMonth
Cc Police Force TZ Ummy Mwalimu, MP
Vivian J Joseph Kumpa mtoto uhuru zaidi inaangukia aina ya kuruhusu, ambapo wazazi wanakuwa na upendo mwingi na kuruhusu mambo mengi lakini wanaweza kukosa muundo(structure) na nidhamu(discipline).
Vivian J Joseph Aina za Malezi;
Kuna aina kuu nne kuu za malezi: mamlaka (authoritative), dikteta(authoritarian), kuruhusu(permissive), na kutofatilia (neglectful). Kila aina ina sifa zake na athari kwenye ukuaji wa mtoto.
Vivian J Joseph Wazazi ambao waliotoka katika umaskini au mazingira duni wanaweza kuwa wamepitia vizuizi na mipaka wakati wa utotoni wao. Kama matokeo, wanaweza kutaka kuwapa watoto wao fursa na uhuru ambao wao wenyewe hawakupata. Tunaita (impact of childhood experiences)
Vivian J Joseph Kwa mtazamo wa kisaikolojia, swali unaloliuliza linajikita katika ugumu wa malezi (complexities of parenting) na mwingiliano kati ya malezi(upbringing), uzoefu binafsi(personal experiences), na mitindo ya malezi (parenting styles).
Unadhani wazazi waliopitia ugumu utotoni mwao kuwapa maisha na uhuru zaidi watoto wao wakifanikiwa wanakosea?
#AfyaYaAkili
#MtotoMahiri
#WatotoAfrika
#MentalHealthAwarenessMonth
Parenting styles can shape a child's future!
Which one resonates most with you? Authoritative, Authoritarian, Permissive, or Uninvolved? #parenting #childdevelopment