Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari
@wizarahmth
Akaunti hii inatoa habari /taarifa Mbalimbali za Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
ID:1336983322254249985
http://www.mawasiliano.go.tz 10-12-2020 10:37:47
3,0K Tweets
14,6K Followers
16 Following
Waziri wa Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari , Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewasili Wasso-Loliondo na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Kanali. Wilson Sakulo kwa ajili ya Hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio (TBC Taifa na Bongo FM) Ngorongoro leo Aprili 14, 2024.
Hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio (TBC Taifa na Bongo FM) cha Loliondo, Ngorongoro.
#TzDigitalTransformation #TzyaKidijitali #KaziIendelee
Hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha Kurushia Matangazo ya Redio (TBC Taifa na Bongo FM) cha Loliondo, Ngorongoro.
#TzDigitalTransformation #TzyaKidijitali #KaziIendelee