Malkia(@20qnana) 's Twitter Profileg
Malkia

@20qnana

Nutritionist at Kukeke Gang, Nutritionist Local Miyeyusho Gang😍

ID:1208093889988636672

linkhttp://www.zanbest.co.tz calendar_today20-12-2019 18:36:55

103,2K Tweets

7,1K Followers

1,9K Following

Hassan Khamis 🇵🇸(@hassankham1s) 's Twitter Profile Photo

As you step onto the shores of our enchanting island, we extend a warm and heartfelt 'Karibu Zanzibar!' - Welcome to Zanzibar!

Nestled in the azure embrace of the Indian Ocean, Zanzibar is a treasure trove of natural beauty, rich history, and vibrant culture. Your journey here…

account_circle
جمعة يحيى محمد(@OfficialJouma) 's Twitter Profile Photo

MASIIHI DAJJAAL. (SEHEMU YA TATU).

📌 Kinga dhidi ya fitna za Masiihi Dajjaal.

• Mtume Muhammad (swalla llaahu 'alayhi wa sallam) ameufunza na kuuelekeza umma wake kuhusiana na yale ambayo yatawakinga dhidi ya fitna za Masiihi Dajjaal (Masiihi wa uongo).
Ameuacha umma wake…

MASIIHI DAJJAAL. (SEHEMU YA TATU). 📌 Kinga dhidi ya fitna za Masiihi Dajjaal. • Mtume Muhammad (swalla llaahu 'alayhi wa sallam) ameufunza na kuuelekeza umma wake kuhusiana na yale ambayo yatawakinga dhidi ya fitna za Masiihi Dajjaal (Masiihi wa uongo). Ameuacha umma wake…
account_circle
Kazinja Medard Rwelamila Gerald(@gcngo88) 's Twitter Profile Photo

Dubai imekumbwa na Mafuriko makubwa kama ya ndugu zetu wa Rufiji na Arusha !!

Wataalamu wanakadiria mvua ya Miaka 2 imenyesha ndani ya saa 24 zilizopita !!

Dubai imekumbwa na Mafuriko makubwa kama ya ndugu zetu wa Rufiji na Arusha !! Wataalamu wanakadiria mvua ya Miaka 2 imenyesha ndani ya saa 24 zilizopita !!
account_circle
جمعة يحيى محمد(@OfficialJouma) 's Twitter Profile Photo

Malkia Wapo wanaosema Mtume hakufanya hivyo, kwa hiyo ni uzushi katika dini (Haifai).

Na wapo wanaosema; Kwamba inafaa kusoma surah hiyo unapotaka kumuomba Allah(wakati wa dua), kwa sababu Allah na Mtume wake wametuambia tuwe tunasoma Qur'an, na 'Alhamdu' ni miongoni mwa surah katika…

account_circle
FESTO RICHARD SANGA(@festosangatz) 's Twitter Profile Photo

Mjadala kuhusu AI (Artificial Intelligence)

-Moja ya jambo kubwa ambalo sisi Africa hususani nchi za uchumi wa chini, ni ngumu kuwa katika mtizamo sawa wa kujadiliana mapokeo ya AI na nchi zilizoendelea, sababu kubwa ikiwa bado uhitaji wa ajira ni mkubwa kwa watu wetu, hatuna…

Mjadala kuhusu AI (Artificial Intelligence) -Moja ya jambo kubwa ambalo sisi Africa hususani nchi za uchumi wa chini, ni ngumu kuwa katika mtizamo sawa wa kujadiliana mapokeo ya AI na nchi zilizoendelea, sababu kubwa ikiwa bado uhitaji wa ajira ni mkubwa kwa watu wetu, hatuna…
account_circle
Malkia(@20qnana) 's Twitter Profile Photo

Na ndio maana nasema siku sisi wanachi tukijitambua CCM haitakua tatizo tena na hii sio only UCHAWA issue ila inajumuisha umbea na kufata upepo

account_circle