SumaLee(@Ayumdj2) 's Twitter Profileg
SumaLee

@Ayumdj2

single boy||CRYPTOCURRENTIST💻💻💰 || Designer||
E business💻|| DM for More Descriptions || mwingi man✌|| dear Editor

ID:1366801171533430791

calendar_today02-03-2021 17:23:08

2,6K Tweets

1,8K Followers

1,2K Following

HAKIMU WA GHETO👑(@mlungajr) 's Twitter Profile Photo

Ukihitaji taarifa zangu we njoo tu niulize mimi mwenyewe. Usiogope, maana marafiki zangu hawajui chochote kuhusu mimi..
Usijisumbue kuwauliza..✍

account_circle
HAKIMU WA GHETO👑(@mlungajr) 's Twitter Profile Photo

Fanya kazi kwa bidii,
Muombe Mungu
Vuta subira.
Mungu hajakusahau bali anakuandalia chakuwashangaza maadui zako..✍✍

account_circle
HAKIMU WA GHETO👑(@mlungajr) 's Twitter Profile Photo

Jitahidi kupunguza marafiki maana wengi wao wanakupenda kwasababu wanapenda kukusikia unalalamika juu ya magumu unayoyapitia..✍✍

account_circle
HAKIMU WA GHETO👑(@mlungajr) 's Twitter Profile Photo

Kila hatua 'DUA' 🤲
Kila Changamoto iwe 'FUNZO' 🤔
Kila wazo zuri liwe 'MPANGO' 🏋️‍♀️

GOOD MORNING MY FAMILY 🤝

account_circle
𝘾𝙝𝙖𝙧𝙡𝙚𝙨 𝙗𝙞𝙘𝙠 21(@charlsbick) 's Twitter Profile Photo

cashmetanzania Kuelekea Msimu Wa Wapendanao Napenda Kuwatakia Na Kuwaombea Wadau Na Wanafamilia ya cashmetanzania Mafanikio Tele Na Baraka Tele katika kuelekea valentine day hii ya 2024.

Naomba repost yako hapa niweze kumshindia mama angu zawadi hii ya samsang.

account_circle
HAKIMU WA GHETO👑(@mlungajr) 's Twitter Profile Photo

Kama Adam na Hawa walikula tunda (apple) na maisha ndo magumu hivi...!!!
Je wangekula pilipili ingekuwaje...???!!!!

Kama Adam na Hawa walikula tunda (apple) na maisha ndo magumu hivi...!!! Je wangekula pilipili ingekuwaje...???!!!!
account_circle
HAKIMU WA GHETO👑(@mlungajr) 's Twitter Profile Photo

Dunia ya leo watu wanatumia nguvu kubwa sana kufuatilia na kufelisha maisha ya watu kuliko nguvu ya kutafuta mafanikio yao binafsi....
Mungu atunusuru na mashetani watu🤲🤲

account_circle