CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profileg
CRDB Bank PLC

@CRDBBankPlc

Tumekuzingatia, tupo kurahisisha miamala yako na kukua pamoja.
#tunakusikiliza

ID:1619851368

linkhttps://crdbbank.co.tz/ calendar_today25-07-2013 08:56:38

28,6K Tweets

67,8K Followers

26 Following

CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Asante kwa kushiriki Uwekezaji Day 2024

Benki ya CRDB inawashukuru washiriki wote kwa kuwa sehemu ya historia katika kuendeleza ukuaji wa taifa letu.

Mijadala iliyoendeshwa na mada zilizowasilishwa zimekuwa ni sehemu muhimu ya mchango wa Benki ya CRDB kwa maendeleo ya sekta yaโ€ฆ

account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

๐’๐ฐ๐š๐ก๐ข๐›๐š, ๐‚๐‘๐ƒ๐ ๐ข๐ญ๐š๐ญ๐จ๐š ๐ฆ๐ข๐œ๐ก๐จ๐ง๐ ๐จ!

Msikilize Mkuu wa Kitengo cha Kadi ambaye pia ni Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na wa Kati, Ndugu Farid Seif, akikupa onja onja za huduma zitakazonufaisha wajasiriamali wa mtandaoni. Menyu kamili utaipata tare 4 Meiโ€ฆ

account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Usipishane na Bodaboda๐Ÿ๏ธ au Bajaji๐Ÿ›บ, huna haja ya kwenda ofisi za serikali kulipa TRA, Maji๐Ÿ’ฆ au fain. Fungua SimBanking๐Ÿ“ฒ, cheki step tulizokuwekea bure.




account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

๐ˆ๐ง๐ฌ๐ญ๐š๐ฉ๐ซ๐ž๐ง๐ฒ๐ฎ๐š ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ’ ๐ง๐ข ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐Œ๐จ๐ฏ๐ข๐ž ๐Ÿ๐ฅ๐š๐ง๐ข ๐ฅ๐š ๐ค๐ข๐›๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š๐ŸŽฌ

Kutoka Bongo Movie hadi ujasiriamali Jackline Wolper atakuwa nasi na utapenda stori yake ya kuingia kwenye biashara na atakupa madini ya kukabiliana na changamoto za Biasharaโ€ฆ

๐ˆ๐ง๐ฌ๐ญ๐š๐ฉ๐ซ๐ž๐ง๐ฒ๐ฎ๐š ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ’ ๐ง๐ข ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐Œ๐จ๐ฏ๐ข๐ž ๐Ÿ๐ฅ๐š๐ง๐ข ๐ฅ๐š ๐ค๐ข๐›๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š๐ŸŽฌ Kutoka Bongo Movie hadi ujasiriamali Jackline Wolper atakuwa nasi na utapenda stori yake ya kuingia kwenye biashara na atakupa madini ya kukabiliana na changamoto za Biasharaโ€ฆ
account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji Day 2024 ๐Ÿ“Œ

CRDB Bank Uwekezaji Day inaendelea katika ukumbi wa 'The Super Dome' Masaki tukiangazia fursa za uwekezaji katika sekta ya kilimo ๐ŸŒฑ.

Mgeni Rasmi wa hafla yetu ni Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano ya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa(Mb)โ€ฆ

Uwekezaji Day 2024 ๐Ÿ“Œ CRDB Bank Uwekezaji Day inaendelea katika ukumbi wa 'The Super Dome' Masaki tukiangazia fursa za uwekezaji katika sekta ya kilimo ๐ŸŒฑ. Mgeni Rasmi wa hafla yetu ni Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Muungano ya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa(Mb)โ€ฆ
account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Unataka kujua siri ya Maendeleo katika Biashara?๐Ÿคท๐Ÿพ๐Ÿคท๐Ÿพโ€โ™€๏ธ

Anatajwa kuwa ni moja kati ya vijana Smati ๐Ÿค“wenye ushawishi barani Africa kwa Mujibu wa tafiti iliyofanywa kampuni ya Avance Media ya nchini Ghana Swahiba mtoa madini Joel Nanauka atakuja na mgodi mzima wa madiniโ€ฆ

Unataka kujua siri ya Maendeleo katika Biashara?๐Ÿคท๐Ÿพ๐Ÿคท๐Ÿพโ€โ™€๏ธ Anatajwa kuwa ni moja kati ya vijana Smati ๐Ÿค“wenye ushawishi barani Africa kwa Mujibu wa tafiti iliyofanywa kampuni ya Avance Media ya nchini Ghana Swahiba mtoa madini Joel Nanauka atakuja na mgodi mzima wa madiniโ€ฆ
account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji Day 2024 ๐Ÿ“Œ

Karibu ushiriki nasi katika CRDB Bank Uwekezaji Day kujifunza fursa mbalimbali za kuboresha na kuongeza tija katika shughuli za kilimo.

Tukio hili litakuwa MUBASHARA kupitia @channeltentanzania

Siku ya Jumapili, Tarehe 28 Aprili ๐Ÿ—“๏ธ

Kuanzia saa โฐ 3โ€ฆ

Uwekezaji Day 2024 ๐Ÿ“Œ Karibu ushiriki nasi katika CRDB Bank Uwekezaji Day kujifunza fursa mbalimbali za kuboresha na kuongeza tija katika shughuli za kilimo. Tukio hili litakuwa MUBASHARA kupitia @channeltentanzania Siku ya Jumapili, Tarehe 28 Aprili ๐Ÿ—“๏ธ Kuanzia saa โฐ 3โ€ฆ
account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

๐”๐ง๐š๐ข๐ฃ๐ฎ๐š ๐ฌ๐ก๐ž๐ซ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š๐Ÿ“‘?

Unaweza kuwa mfanyabiashara mashuhuri na mwenye mafanikio lakini ukakosea kitu kimoja tu cha kisheria ikawa msala๐Ÿ‘ฎ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ. Swahiba, karibu Instaprenyua ule nondo za masuala ya kisheria katika Biashara kutoka kwa ๐†๐ซ๐š๐œ๐žโ€ฆ

๐”๐ง๐š๐ข๐ฃ๐ฎ๐š ๐ฌ๐ก๐ž๐ซ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š๐Ÿ“‘? Unaweza kuwa mfanyabiashara mashuhuri na mwenye mafanikio lakini ukakosea kitu kimoja tu cha kisheria ikawa msala๐Ÿ‘ฎ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ. Swahiba, karibu Instaprenyua ule nondo za masuala ya kisheria katika Biashara kutoka kwa ๐†๐ซ๐š๐œ๐žโ€ฆ
account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Swahiba wetu Dickson Njunwa amemwaga Mchele wooote!
Kazi kwako MwanaInstaprenyua kujiandikisha. Sikiliza kwa makini video hii kisha fanya yako ili tukutane tarehe 4 Mei kwenye Instaprenyua!


account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Kupitia sera yetu ya uwekezaji kwenye jamii, Mwenyekiti wetu wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay amekabidhi madarasa mawili kwa Sekondari Kikilo na mengine mawili katika Shule ya Msingi Isabe, zote za wilayani Kondoa katika Mkoa wa Dodoma.

Katika hafla zaโ€ฆ

Kupitia sera yetu ya uwekezaji kwenye jamii, Mwenyekiti wetu wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay amekabidhi madarasa mawili kwa Sekondari Kikilo na mengine mawili katika Shule ya Msingi Isabe, zote za wilayani Kondoa katika Mkoa wa Dodoma. Katika hafla zaโ€ฆ
account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

*ไฝ ๅฅฝๆฅ่‡ชไธญๅ›ฝใ€‚ ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ*

Anti Esha anajishaua!๐Ÿ˜ƒ Yote kisa yuko kwa kina Shivo na kadi ๐Ÿ’ณ yake ya ๐“๐ž๐ฆ๐›๐จ๐‚๐š๐ซ๐ inayomuwezesha kufanya matanuzi anavyotaka nje ya nchi๐ŸŒŽ. Hii kadi ukiitaka unaweza kuiomba kwa *SimBanking*๐Ÿ“ฑ au ibuka *tawini*. ๐Ÿฆ


account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji Day 2024 ๐Ÿ“Œ

Zikiwa zimebaki siku mbili kuelekea tukio letu litakalokuwa MUBASHARA kupitia @channeltentanzania, tutakuwa na viongozi mbalimbali kutoka sekta ya kilimo na sekta shiriki kwenye kilimo watakaoshikiri kutoa na kuchangia mada zitakazowasilishwa.

Karibuโ€ฆ

Uwekezaji Day 2024 ๐Ÿ“Œ Zikiwa zimebaki siku mbili kuelekea tukio letu litakalokuwa MUBASHARA kupitia @channeltentanzania, tutakuwa na viongozi mbalimbali kutoka sekta ya kilimo na sekta shiriki kwenye kilimo watakaoshikiri kutoa na kuchangia mada zitakazowasilishwa. Karibuโ€ฆ
account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Mpendwa Mwanahisa,

Unakaribishwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa 29 utakaofanyika 18/05/2024, ukumbi wa AICC Arusha. Tembelea cutt.ly/notisi-ya-crdbโ€ฆ kupakua taarifa ya Mkutano Mkuu

Mpendwa Mwanahisa, Unakaribishwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa 29 utakaofanyika 18/05/2024, ukumbi wa AICC Arusha. Tembelea cutt.ly/notisi-ya-crdbโ€ฆ kupakua taarifa ya Mkutano Mkuu
account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

๐Œ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š๐›๐ข๐š๐ฌ๐ก๐š๐ซ๐š ๐ฐ๐š ๐ˆ๐ง๐ฌ๐ญ๐š๐ ๐ซ๐š๐ฆ๐Ÿ“ธ, ๐”๐ฐ๐š๐ง๐ฃ๐š ๐ง๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐จ ๐ฌ๐š๐ฌ๐š!

Swahiba๐Ÿ–๐Ÿผ๐Ÿ˜ƒ, njoo uchukue maujanja! Njoo uchukue Maujuzi! Msimu wa pili wa Instaprenyua umewadia na itafanyika Mei 4๏ธโƒฃ Mwaka huu hapa hapa makao Makuu ya๐Ÿ“CRDB, Palm Beach Dar es Salaam.โ€ฆ

account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

๐“๐ฎ๐ฉ๐จ ๐ฐ๐š๐ณ๐ข ๐ฌ๐ฐ๐š๐ก๐ข๐›๐š ๐Ÿ–๐Ÿฝ๐Ÿ˜€

Tazama Matawi yaliyo wazi siku ya leo, pia unaweza kutumia njia zetu mbadala kufurahia huduma za kibenki kupitia:

SimBanking ๐Ÿ“ฒ
ATM๐Ÿง
CRDB Wakala ๐Ÿ˜๏ธ
Internet Banking ๐ŸŒ
TemboCard ๐Ÿ’ณ
Lipa Hapa๐Ÿ“‹



account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Mwaka huu CRDB imekuja tena na Jukwaa la Instaprenyua โ€œSmatisha Biasharaโ€ litakalofanyia Jumamosi ya tarehe 4 mwezi May pale CRDB Makao Makuu, Palm Beach Dar es Salaam. Hii ni fursa kwako mfanyabiashara wa mtandao kupata madini kutoka kwa magwiji na wataalamu mbalimbali katikaโ€ฆ

account_circle
CRDB Bank PLC(@CRDBBankPlc) 's Twitter Profile Photo

Uwekezaji Day 2024 ๐Ÿ“Œ

Tanzania ina ardhi yenye eneo kubwa kwa fursa za kilimo na umwagiliaji. Pia zipo fursa za kusafirisha mazao ya kimkakati nje ya nchi.

Kufanikisha hili kunahitajika kufahamu viwango vya mazao vinavyokubalika na njia bora ya usafirishaji, je unafahamuโ€ฆ

Uwekezaji Day 2024 ๐Ÿ“Œ Tanzania ina ardhi yenye eneo kubwa kwa fursa za kilimo na umwagiliaji. Pia zipo fursa za kusafirisha mazao ya kimkakati nje ya nchi. Kufanikisha hili kunahitajika kufahamu viwango vya mazao vinavyokubalika na njia bora ya usafirishaji, je unafahamuโ€ฆ
account_circle